Home Meridianbet YAMEBAKI MASAA TU MSHINDI WA MILIONI APATIKANE KUPITIA SHINDANO LA EXPANSE ...

YAMEBAKI MASAA TU MSHINDI WA MILIONI APATIKANE KUPITIA SHINDANO LA EXPANSE …..

Meridianbet

Shindano la michuano ya Expanse limebakiza masaa machache kufika mwisho na mshindi wa kiasi cha milioni moja apatikane, Cheza sasa uweze kua mshindi wa kitita hicho.

Shindano la Expanse ambalo limedumu kwa muda wa mwezi mmoja sasa linafikia tamati leo na unaweza kua mmoja wa washindi watakaoibuka leo, Hivo kinachotakiwa kufanyika kwako mdau ni kuendelea kucheza michezo ya kasino ili uweze kujiweka kwenye mazingira mazuri ya kushinda.

Mshindi wa Kitita cha milioni moja atapatikana leo lakini hatakua mwenyewe tu kwani kuna washindi wengine ambao wataweza kuibuka na mkwanja, Kwani mshindi hatakau mmoja pekee watakua washindi zaidi ya watano kupitia shindano hili.

Michezo ambayo itahusishwa kwenye shindano hili la mabingwa ni kama ifuatavyo Book of Eksimo, Book of Egypt, Fortune Farm, Sticky 777, Veni Vidi Vici, Forest Rock, Piggy Party, Battle for the Throne, na Bounty Hunters.

Ikumbukwe hakutakua na mshindi mmoja tu wa Milioni taslimu kwakua hili ni shindano basi washindi watachukua kitita kama ifuatavyo

Fursa ni yako kwasasa kwa kushiriki shindano hili la kibingwa kipindi hiki cha sikukuu uweze kuipendezesha sikukuu yako kwani mpaka sasa yamebaki masaa kadhaa mshindi apatikane na kuuanza mwaka kwa namna yake.

Mbali na kucheza michezo mbalimbali ya kasino lakini pia Meridianbet wanakukumbusha usiisahau kubashiri michezo mbalimbali kwani ligi mbalimbali barani ulaya na dunia nzima zinaendelea karibu kila siku.

SOMA NA HII  UJANJA NI KUCHEZA SLOTI YA 100 SUPER ICY..