Home Meridianbet LEO KWA MOTO SANA NDANI YA MERIDIANBET….

LEO KWA MOTO SANA NDANI YA MERIDIANBET….

Meridianbet

Siku ya Jumapili leo timu kibao zimejiandaa kukupatia pesa ndani ya Meridianbet, wewe unatakiwa kuweka dau lako dogo na ujishindie mara dufu zaidi. Huku Man U, kule Inter, pesa ipo hapa.

Ufaransa LIGUE 1 itaendelea ambapo Stade Reims atakiwasha dhidi ya Le Havre ambapo tofauti ya pointi kati yao ni 8 ambapo mwenyeji anashikilia nafasi ya 12 na mgeni wake nafasi ya 17. Mechi ya mwisho kukutana, mwenyeji alishinda. Je leo hii ataendeleza tena ubabe au mgeni hatakubali?. 1.65 kwa 5.60 ndio ODDS za mechi hii. Jisajili hapa.

Angers SCO baada ya kushinda mechi yao iliyopita, leo hii atakuwa mwenyeji wa AJ Auxerre ambao walitoa sare mechi yao iliyopita. Takwimu zinaonyesha kuwa walipokutana mara ya mwisho mgeni alishinda. Je leo hii nani atashinda?. Mechi hii imepewa ODDS 2.23 kwa 3.40. Suka mkeka wako hapa.

Na mechi ya mwisho Ufaransa leo hii ni hii ya Marseille vs Strasbourg ambao wapo nafasi ya 10 kwenye msimamo wa ligi. Mwenyeji yupo nafasi ya 2 na ushindi wa leo utamfanya ajikite nafasi hiyo hiyo, hivyo hapa lazima mmoja aibuke mshindi. Bashiri mechi hii yenye ODDS 1.62 kwa 5.20.

Maliza wikendi yako kibabe kwa kubashiri na Meridianbet leo. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Uingereza leo hii tena EPL itaendelea ambapo Manchester United baada ya kushinda mechi yake iliyopita, leo hii atakuwa Old Trafford kusaka ushindi dhidi ya Brighton ambao nao pia walishinda mechi yao iliyopita. Mechi ya mwisho kukutana United alipigika. Je leo atalipa kisasi?. Mechi hii ina ODDS 2.20 kwa 3.30. Bashiri sasa.

Tottenham Hot Spurs baada ya kupigika mechi yao iliyopita, leo hii watakuwa ugenini kusaka ushindi dhidi ya Everton ambao nao walipigika mechi yao ya mwisho. Timu hizi zinafatana kwenye msimamo wa ligi, yaani mwenyeji yupo nafasi ya 16 na mgeni wake nafasi ya 15. Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kushinda The Toffees kwa ODDS 2.65 kwa 2.75. Jisajili hapa.

Naye bingwa mtetezi wa Ligi kuu ya Uingereza Manchester City atasafiri kupepetana dhidi ya Ipswich Town ambao wana hali mbaya kwenye ligi nafasi ya 18 hadi sasa wakishinda mechi zao 3 pekee. Pep Guardiola na vijana wake wanahitji ushindi leo hii baada ya kutoa sare mechi yao iliyopita. 7.80 kwa 1.40 ndio ODDS za mechi hii. Suka jamvi hapa.

Hispania LALIGA itaendelea Celta Vigo atamleta kwake Athletic Bilbao ambao walipoteza mechi yao iliyopita, halikadhalika kwa mwenyeji. Tofauti ya pointi kati yao ni 12. Nani kuondoka na pointi 3 leo?. Beti mechi hii yenye ODDS 2.80 kwa 2.70.

Real Madrid atakuwa Santiago Bernabeu kusaka pointi 3 za kukaa kileleni dhidi ya UD Las Palmas ambao wapo nafasi ya 14 huku mtanange wa mwisho kukutana, walitoshana nguvu. Ancelotti anahitaji ushindi leo. Je mgeni atamzuia?. 1.18 kwa 16 ndio ODDS za mechi hii. Tengeneza jamvi hapa.

Mechi kali pia ni hii ya Valencia vs Real Sociedad ambapo hapa mwenyeji yeye anashika mkia kwenye msimamo wa ligi na mgeni wake yupo nafasi ya 7. Kila timu inahitaji pointi 3 za ushindi leo huku ODDS za mechi hii zikiwa ni 3.15 kwa 2.55. Beti yako unaiweka wapi?. Jisajili hapa.

SERIE A kule Italia leo kutawaka moto ambapo Parma atamenyana dhidi ya Venezia ambapo uhitaji wa alama 3 ni muhimu kwa wote wawili. Mwenyeji ni wa 15 na mgeni wake ni wa 19 yaani wa pili kutoka mwisho. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 Meridianbet. Tandika jamvi hapa.

Hapo baadae Hellas Verona atakuwa uso kwa uso dhidi ya Lazio Rome ambao mechi 3 mfululizo wameshinda kupata pointi 3. Mwenyeji yeye yupo nafasi ya 17 na mgeni wake nafasi ya 5. Meridianbet wanampa Lazio nafasi ya kushinda kwa ODDS 4.80 kwa 1.78. Wewe beti yako unampa nani?. Beti hapa.

Nao vijana wa Inzaghi Inter watakuwa Giuseppe Meazza kusaka ushindi dhidi ya Empoli ambapo mechi ya mwisho kukutana, Inter waliondoka na ushindi. Je leo hii mgeni anaweza kulipa kisasi?. Mechi hii ina ODDS 1.28 kwa 11. Tandika jamvi hapa.

SOMA NA HII  HIZI HAPA BILIONI 80 ZA MERIDIANBET ZINAKUNGOJA....KUSHINDA NI RAHISI MNOOOO....