Home Meridianbet NAFASI YA KUWA MILIONEA UNAYO LEO…ODDS ZA USHINDI HIZI HAPA…

NAFASI YA KUWA MILIONEA UNAYO LEO…ODDS ZA USHINDI HIZI HAPA…

Meridianbet

Ijumaa ndio hiyo imefika ya kuchukua maokoto yako ya maana na mabingwa wa odds kubwa Meridianbet leo kwani mechi kibao za pesa zitakuwa uwanjani hapo baadae kusaka pointi 3.

Uingereza CHAMPIONSHIP itaendelea, Sheffield United watamleta kwao Hull City ambapo mtanange wa mwisho kukutana, United alishinda. Hivyo leo hii mgeni anataka kulipa kisasi akiw augenini. Mwenyeji anahitaji ushindi hii leo apande hadi nafasi ya kwanza kwenye msimamo wa ligi hiyo. 1.75 kwa 5.00 ndio ODDS za mechi hii. Jisajili sasa.

Nafasi ya kupiga pesa leo ni kubwa kabisa ndani ya Meridianbet kwani mechi nyingi za pesa zipo. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Kule Italia SERIE A mchezo mmoja kupigwa leo kati ya Torino vs Cagliari Calcio ambapo mwenyeji ametoka kutoa sare mechi yake iliyopita, huku mgeni yeye akishinda kwa kishindo mechi yake akiwa nyumbani. Tofauti yao ni pointi 2 pekee huku wakali wa ubashiri Meridianbet wakimpa nafasi kubwa ya kushinda mwenyeji kwa ODDS 2.30 kwa 3.50. Suka jamvi hapa.

Ligi kuu ya Ujerumani BUNDESLIGA kutakuwa na mtanange mzito kati ya Wolfsburg dhidi ya Holstein Kiel ambao mechi yao iliyopita walipigika vibaya nyumbani, huku kwa upande wa wenyeji wao pia walipigika vilevile. Hivyo pointi 3 za leo ni muhimu kwa kila timu. Meridianbet imempa nafasi kubwa ya kushinda mwenyeji kwa ODDS 1.45 kwa 6.60. Bashiri hapa.

Pia kule LALIGA kuna mechi ya kubetia ambapo UD Las Palmas atamenyana dhidi ya CA Osasuna huku tofauti yao ikiwa ni pointi 4 pekee. Mara ya mwisho kukutana timu hizi mbili, mgeni aliondoka na ushindi, hivyo leo hii mwenyeji anahitaji kulipa kisasi akiwa kwake. Mechi hii imepewa ODDS 2.50 kwa 3.05. Jisajili hapa.

Vilevile kule Ufaransa LIGUE 1 nayo kitawaka ambapo AJ Auxerre atamenyana dhidi ya AS Saint-Etienne ambao walitoa sare huku mwenyeji yeye akipoteza mechi yake iliyopita, hivyo ushindi w aleo ni muhimu sana kwake. Mwenyeji anashikilia nafasi ya 11 na mgeni nafasi ya 16. ODDS za mechi hii pale Meridianbet ni 2.00 kwa 3.80. Je beti yako unaiweka wapi hapa leo?. Suka jamvi hapa.

SOMA NA HII  HIZI HAPA MECHI ZA UHAKIKA LEO… ZINA ODDS KUBWA