Home Meridianbet MERIDIANBET YAGAWA JEZI ZA MPIRA WA MIGUU KWA TIMU 2….

MERIDIANBET YAGAWA JEZI ZA MPIRA WA MIGUU KWA TIMU 2….

Meridianbet

Ikiwa ni Jumamosi ya Februari 22, wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet walizitembelea timu mbili moja kutoka Dar es salaam na nyingine kutoka mkoani Morogoro kwaajili ya kugawa jezi za michezo.

Timu hizo mbili ambazo zilinufaika na ujio wa Meridianbet ni pamoja na Rising Star pamoja na Kamili Gado FC ambazo zilikuwa na uhitaji mkubwa wa vifaa vya michezo kwani vijana wengi sasa wameamua kugeukia kwenye sekta ya michezo.

Kama sehemu ya juhudi zake za kukuza michezo na kutoa mchango katika maendeleo ya soka nchini, Meridianbet imeendelea kurejesha kwa jamii kwa kukabidhi jezi mpya kwa timu ya Rising Star FC na timu ya Kamili Gado. Msaada huu wa jezi unalenga kuwapa wachezaji na timu hizo vifaa bora vitakavyowawezesha kufanya vizuri katika mashindano na kuwawezesha kuonyesha uwezo wao mkubwa uwanjani.

Kwa upande wa michezo Jumamosi ya leo, suka jamvi lako na Meridianbet huku ukikumbuka kucheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Baada ya kupokea msaada wa jezi hizo, timu ya Kamili Gado, walisema kuwa wanaishukuru sana Meridianbet kwa kuwaletea jezi hizo na kutambua umuhimu wao kwenye sekta ya michezo kwani walikuwa na uhitaji mkubwa wa jezi hizo ambazo zinaweza kuwasaidia kwenye mashindano yao mbalimbali ambayo hushiriki.

Lakini pia wanawaomba Meridianbet wazidi kufika kwenye timu mbalimbali za mpira ambazo ni changa kwani timu hizi huwa zinahitaji sana kushikwa mkono ili kuweza kuendeleza vipaji vyao na ndoto zao za kila siku.

Katika zoezi la ugawaji wa jezi hizo, Mwakilishii wa Meridianbet Bi Nancy Ingram alisema: “Tunajivunia kuwa sehemu ya mafanikio ya Rising Star FC na Kamili Gado. Tunatambua umuhimu wa kuwapa wachezaji vijana na wale walioko kwenye hatua za juu vifaa bora ili waweze kufikia malengo yao. Meridianbet itazidi kushirikiana na wadau wa michezo ili kuchangia katika ukuaji wa michezo nchini.”

Meridianbet wameendeleza jitihada zao za kuendeleza kukuza michezo nchini, hasa kwa kuzingatia umuhimu wa kusaidia timu na wachezaji kwa vifaa na rasilimali zitakazowawezesha kufikia viwango vya juu zaidi katika ufanisi wa michezo. Jisajili na ubeti na Meridianbet.

 

SOMA NA HII  MICHEZO YA EXPANSE KASINO INAKUPA UTAJIRI....