Home Meridianbet MBEZI JUU YAFIKIWA NA KUPENDEZESHWA NA MERIDIANBET….

MBEZI JUU YAFIKIWA NA KUPENDEZESHWA NA MERIDIANBET….

Meridianbet

Katika kuendelea kuhakikisha kuwa mazingira yanazidi kuwa bora zaidi, Meridianbet iliamua kurejesha kwa namna ya pekee ambapo safari hii wameamua kupanda miti Mbezi Juu.

Meridianbet, kampuni inayoongoza katika sekta ya kubashiri na michezo, imeendelea kuonyesha uwajibikaji wake kwa jamii kwa kuanzisha na kuongoza zoezi la upandaji miti katika Kata ya Mbezi Juu, Dar es Salaam. Zoezi hili limejumuisha wananchi, viongozi wa kata, na wadau wengine kwa lengo la kulinda mazingira na kuboresha hali ya hewa katika eneo hilo.

Katika tukio hili, Meridianbet imefanikisha upandaji wa miti mingi ya aina mbalimbali, ikiwa ni pamoja na miti ya kivuli, miti ya matunda, na miti ya mapambo. Zoezi hili linatokana na dhamira ya kampuni ya kuchangia katika kupambana na mabadiliko ya tabia nchi na kuboresha mazingira kwa jamii inayozunguka.

Kumbuka kuwa ili kupiga pesa zaidi, cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Akizungumza wakati wa tukio hilo, Mwakilishi wa Meridianbet alisema: “Sisi kama Meridianbet tunaamini katika kuleta mabadiliko chanya kwenye jamii tunayohudumia. Kupitia mpango huu wa upandaji miti, tunalenga kuboresha mazingira na kuhakikisha kizazi cha sasa na kijacho kinapata faida za miti, ikiwa ni pamoja na hewa safi na ardhi yenye rutuba. Tunawashukuru wote walioungana nasi katika kampeni hii muhimu.”

Upandaji wa miti ni moja ya harakati za Meridianbet za kuhamasisha jamii kuhusu umuhimu wa kutunza mazingira, kupambana na uharibifu wa misitu, na kudumisha mazingira bora kwa vizazi vijavyo. Kampuni hiyo inaamini kwamba kila mtu ana jukumu katika kulinda na kutunza rasilimali za asili ili kuhakikisha maisha bora kwa wote.

Meridianbet inatoa shukrani kwa wananchi wa Mbezi Juu na wadau wote walioshiriki katika zoezi hili, na inasisitiza kuwa itaendelea kutekeleza miradi mingine ya kijamii inayolenga kuboresha mazingira na maisha ya wananchi.

Lakini kumbuka kuwa siku ya leo unaweza ukabashiri na Meridianbet mechi za leo kwani ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Jisajili hapa.

SOMA NA HII  WIKENDI HII UNAKOSAJE KUPIGA PESA NA MERIDIANBET...?