Home Meridianbet MERIDIANBET KUKUPATIA MZIGO MKUBWA LEO….ODDS ZA USHINDI HIZI HAPA…

MERIDIANBET KUKUPATIA MZIGO MKUBWA LEO….ODDS ZA USHINDI HIZI HAPA…

Meridianbet

Jumanne ya leo kama kawaida ni mechi za Ligi ya mabingwa Ulaya ambapo ODDS KUBWA zipo na machaguo ambayo unayataka. Je nani kukupatia pesa leo pale Meridianbet?

Mechi kali leo hii itakuwa ni Madrid Derby ndani ya UEFA ambapo Real Madrid atakiwasha dhidi ya Atletico Madrid katika dimba la Santiago Bernabeu huku kwenye ligi walipokutana mara ya mwisho wlaitoshana nguvu. Ni vita kali leo kati ya vijana wa Carlo Ancelotti na Diego Simeone. Nani kuondoka na ushindi?. Mechi hii ina ODDS 1.93 kwa 4.00. Suka jamvi hapa.

UEFA imekuja na mpunga wa maana leo ingia na ubashiri sasa. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Club Brugge atakuwa nyumbani kupepetana dhidi ya  Aston Villa inayokipiga kule ligi kuu ya UIngereza huku Meridianbet wakimpa nafasi ya ushindi kwa ODDS 2.40 kwa 3.15. Takwimu zinaonesha kuwa mara ya mwisho walipokutana, vijana wa Unai walipoteza. Je leo hii wanaweza kulipa kisasi mbele ya timu hiyo ya kule Ubelgiji?. Suka jamvi hapa.

Pia mechi nyingine ya kubashiri ni hii ya PSV dhidi ya Arsenal ambapo wote wanataka ushindi leo hii kwenye mechi ya mtoano huku vijana wa Arteta wakipendelewa kuondoka na pointi tatu leo kule Uholanzi wakipewa ODDS 2.04 kwa 3.85. Mwenyeji kwenye ligi yupo nafasi ya 2 halikadhalika kwa The Gunners nao wpao nafasi nafasi hiyo hiyo. Timu hizi zilikutana msimu juzi ambapo kwenye mechi mbili Arteta alichukua pointi 4. Leo hii mwenyeji atafanya nini akiwa nyumbani? Jisajili hapa.

Borussia Dortmund atatunishana mbavu dhidi ya Lille ya Ufaransa ambao wapo nafasi ya 5 kwenye ligi na mwenyeji yupo nafasi ya 10 kwenye ligi yao kule Ujerumani. Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kushinda Borussia kwa ODDS 1.67 kwa 5.20. Je wewe beti yako unampa nani leo?. Jisajili hapa.

SOMA NA HII  WIKIEND YA KIPUTE CHA 'MIHELA' INAANZA KESHO....KAMATA ODDS ZA USHINDI KUPITIA MERIDIANBET..