Home Meridianbet MERIDIANBET FOUNDATION YAKUSANYA VITABU KWA AJILI YA MAKTABA NDOGO NA VITUO VYA...

MERIDIANBET FOUNDATION YAKUSANYA VITABU KWA AJILI YA MAKTABA NDOGO NA VITUO VYA JAMII DUNIANI.

Meridianbet

Meridianbet Foundation, taasisi ya kijamii ya Meridianbet, sehemu ya Golden Matrix Group (NASDAQ: GMGI), imeanzisha kampeni ya kimataifa ya uchangiaji vitabu, inayolenga kusaidia maktaba ndogo na vituo vya jamii kwa vitabu vya elimu.

Kampeni hii ni sehemu ya juhudi za kampuni kuhakikisha kuwa jamii katika maeneo mbalimbali duniani zinapata fursa ya kuendeleza utamaduni wa kusoma na kujifunza.

Wafanyakazi wa Meridianbet wamejitoa kwa kuchangia vitabu walivyovisoma, ambavyo sasa vitasambazwa kwa maktaba na vituo vya jamii, kusaidia kukuza maarifa katika maeneo yanayokumbwa na changamoto za kifedha.

“Vitabu ni chombo cha msingi katika kukuza maarifa na elimu. Kampeni hii inalenga kuhakikisha kuwa kila mtu anapata fursa ya kusoma, kujifunza na kuchangia katika maendeleo ya jamii zao,” alisema Stefan Todorović, Mkuu wa Global CSR wa Meridianbet Foundation.

NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

Kampeni hii itaendelea kupanuka katika masoko yote ambapo Meridianbet inafanya kazi, ikiwa ni sehemu ya dhamira ya kampuni kusaidia jamii kupitia elimu, usomaji, na utamaduni.

SOMA NA HII  KUWA MILIONEA NA MECHI ZA JUMAMOSI YA LEO...