Home Meridianbet TENGENEZA MAMILIONI NA MECHI ZA EUROPA LEO….

TENGENEZA MAMILIONI NA MECHI ZA EUROPA LEO….

Meridianbet

Europa leagua na Conference kuvurumishwa siku ya leo huku odds za kibabe na machaguo zaidi ya 1000 yakiwa kwenye mechi za leo. Chagua Meridianbet kubashiri mechi za leo.

Lazio baada ya kupigika ugenini mechi yake iliyopita dhidi ya Bodoe/Glimt sasa atakuwa nyumbani kupindua meza, huku akiwa nyuma ya mabao 2. Mwenyeji ili kwenda hatua inayofuata inabidi ashinde mabao matatu na kuendelea lasivyo bado atakuwa na mzigo mzito. Wakali wa ubashiri wameipa mechi hii ODDS 1.45 kwa 7.00. Jisajili hapa.

Katika dimba la Deutsche Bank Park pale Ujerumani, kutakuwa na mechi ya kuuana kati ya Eintracht Frankfurt vs Tottenham Hot Spurs huku timu hizi zote zikitoa sare mechi yao iliyopita. Kabla ya kukutana wiki iliyopita, takwimu zinaonesha kuwa timu hizi zilishawahi kukutana ambapo ilikuwa ni msimu wa 2022/23 kwenye ligi ya mabingwa. Na mbabe alikuwa Spurs ambaye aliondoka na pointi nne. 2.40 kwa 2.85 ndio ODDS za mechi hii. Suka jamvi hapa.

Ukiwa na Meridianbet ni rahisi sana kupiga pesa mechi za Europa na Conference league leo. Suka jamvi lako la ushindi leo na ubashiri hapa. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, Keno, Poker, Roullette, Keno, na mingine kibao.

Amorim na Manchester United yake watakuwa Old Trafford kukipiga dhidi ya Olympique Lyon ambapo mchezo wa kwanza walitoa sare. Vijana wa Amorim wanahitaji ushindi leo nyumbani kwenda Nusu Fainali. Nafasi ya kushinda mechi hii amepewa United kwa ODDS 1.80 kwa 4.30. Je beti yako unaiweka wapi hapa?. Bashiri hapa.

Wakati Athletic Bilbao atamleta kwake Glasgow Rangers ambao kushinda mechi hii ya leo wamepewa ODDS 8.40 kwa 1.37. Ikumbukwe kuwa mechi ya kwanza walipokutana, walitoa suluhu. Je nani unampa pesa yako akupe pesa leo?. Tandika jamvi mechi hii.

Tukigeukia CONFERENCE LEAGUE sasa, baada ya Chelsea kushinda ugenini leo hii watakuwa pale Stamford Bridge kupepetana dhidi ya Legia Warsaw ambao wana kibarua kizito siku hii ya leo. The Blues chini ya Enzo Maresca wanahitaji kulinda mtaji wao au waongeze magoli. Meridianbet wanaipa mechi hii ODDS 1.28 kwa 9.80. Jisajili hapa.

Huku Real Betis wao baada ya kushinda nyumbani sasa leo hii watakuwa ugenini kukiwasha dhidi ya Jagiellonia ambao hawapewi nafasi kubwa ya kushinda leo kwa ODDS 4.20 kwa 1.83. Je mwenyeji anaweza kulipa kisasi leo?. Suka jamvi hapa.

Pale Italia, katika dimba la Artemio Franchi, ACF Fiorentina atakiwasha dhidi ya NK Celje ambao wanahitaji kupindua meza ugenini leo. 1.37 kwa 8.00 ndio ODDS za mechi hii, huku Meridianbet wakiipa mechi hii pia machaguo zaidi ya 1000. Je beti yako unaiweka kwa nani leo?. Beti hapa.

SOMA NA HII  MAPEEMAAA TU...ZINGATIA ODDS ZA KIBABE KUTOKA MERIDIANBET KWA MTONYO MZITO WA UHAKIKA..