Home Meridianbet ODDS KUBWA ZA KUKUPATIA MSHIKO ZIPO MERIDIANBET…

ODDS KUBWA ZA KUKUPATIA MSHIKO ZIPO MERIDIANBET…

Meridianbet

Mechi za ushindi zinakusubiri wewe pekee, Laliga, Serie A, na zingine zinaendelea ambapo nafasi ya kuibuka mshindi unayo leo. Tengeneza jamv lako na ufurahie maokoto leo.

Meridianbet ilianza kuitazama ligi kuu ya Italia kule SERIE A ambapo mechi kadhaa zitapigwa Bologna atakiwasha dhidi ya Genoa ambao wanashika nafasi ya 13, huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 8. Nafasi ya kuondoka na pointi 3 pale Meridianbet amepewa mwenyeji kwa ODDS 1.65 kwa 5.00. Suka jamvi hapa.

Huku AC Milan wao watakuwa nyumbani kukipiga dhidi ya AC Monza mabao ndio vibonde wa ligi hadi sasa. Mechi ya kwanza kukutana, Milan aliondoka na ushindi mwembamba ugenini. Leo hii yupo nyumbani kusaka uhsindi muhimu kabisa. ODDS za mechi hii ni 1.30 kwa 9.00, vileile machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Bashiri sasa.

Nafasi ya kuwa mshindi na Meridianbet unayo leo, Suka jamvi lako hapa lakini pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, Keno, Poker, Roullette, Keno, na mingine kibao.

Kule Hispania LALIGA inatarajiwa kuendelea leo hii ambapo kwenye viwanja mbalimbali mechi zitapigwa, Real Madrid atakipiga dhidi ya Real Sociedad ambao wapo nafasi ya 11. Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kushinda Carlo Ancelotti na vijana wake kwa ODDS 1.43 kwa 6.60. Je beti yako wewe unaiweka wapi?. Bashiri hapa.

Espanyol Barcelona baada ya kupoteza mechi iliyopita leo hii atamenyana dhidi ya Las Palmas ambao kushinda mechi hii wamepewa ODDS 8.60 kwa 1.37. Mwenyeji anahitaji ushindi leo ili asishuke daraja. Lakini je atafanikiwa?. Jisajili na ubashiri hapa.

Vilevile mechi nyingine ni hii ya Rayo Vallecano dhidi ya RCD Mallorca huku tofauti yao ikiwa ni pointi 4 pekee. Mara ya mwisho kukutana, mgeni aliondoka na ushindi hivyo leo hii mwenyeji anataka kulipa kisasi nyumbani. Mechi hii imepewa ODDS 1.55 kwa 6.60. Tengeneza jamvi hapa.

Kwa upande wa Getafe yeye ataumana vikali dhidi ya RC Celta Vigo huku nafasi ya kuondoka na ushindi akipewa mgeni kwa ODDS 1.95 kwa 4.10. Takwimu zinaonesha kuwa mchezo wa mkondo wa kwanza walipokutana, mwenyeji alipigika. Nani unampa pesa yako akutajirishe leo?. Suka jamvi hapa.

CA Osasuna baada ya kushinda mechi iliyopita, leo hii atakuwa ugenini kupepetana dhidi ya Deportivo Alaves ambaye naye pia alishinda mechi yake iliyopita. Wote wanahitaji kumaliza ligi kwa ushindi leo. Je nani kuondoka kifua mbele?. Bashiri mechi hii ODDS zake ni 3.25 kwa 2.40.

Fainali ya DFB POKAL kule Ujerumani kupigwa leo Arminia Bielefeld dhidi ya VFB Stuttgart. Ikumbukwe kuwa Armia anashiriki ligi daraja la 3 kule Ujerumani huku Stuttgart yeye akishiriki ligi kuu. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 6.20 kwa 1.50. Wewe unaweka wapi beti yako?. Tandika jamvi hapa.

SOMA NA HII  USIKU WA ULAYA HUU HAPA NA MAKOTO YAKE ....ZINGATIA ODDS HIZI KWA USHINDI WA KIBABE..