Home Meridianbet PSG, SPURS, CHELSEA. NI MSIMU WA WALE WALIOSUBIRI SANA….

PSG, SPURS, CHELSEA. NI MSIMU WA WALE WALIOSUBIRI SANA….

Meridianbet

Msimu wa 2024/25 umekua wa kitofauti baada ya kushuhudia majina makubwa yakianguka huku majina yasiyotarajiwa yakipanda jukwaa kwa ajili ya kuvalishwa medali. Hili ndilo soka, mchezo usiobebwa na miujiza bali maandalizi pamoja na mifumo thabiti. Meridianbet imekua sehemu ya safari ya mafanikio kwa wabashiri msimu huu

Psg baada ya kuyapiga chini majina makubwa kama Liverpool, Aston villa na Arsenal, anaingia fainali na kutwaa taji la Uefa Champions Leaguembele ya Inter milan iliyoonyesha ubabe mbele ya Bayern Munich na Barcelona kwa kumchapa goli 5-0 na kuweka rekodi ya fainali ambayo mpinzani kafungwa magoli mengi Zaidi. PSG wamefanya kile ambacho mashabiki wao kwa miaka mingi sana wamekua wakisubiri kukishuhudia, kutwaa kombe la ligi ya mabingwa ulaya.

Imani ya kocha Luis Enrique juu ya vijana chipukizi na wasio na majina makubwa imemlipa. Kama hatukuelewa kwanini Mbappe, Neymar, na Messi waliondoka PSG basi Luis ametupa majibu kwamba haihitaji jina kubwa kupata ushindi bali uthubutu na mifumo iliyo sahihi. Desire Doue sio tu kuaminika na kuchukua taji, bali anafanikiwa kuchukua tuzo ya mchezaji bora chipukizi huku mchezaji mwenzake Ousman Dembele akitwaa tuzo ya mchezaji bora wa michuano hiyo na PSG kwa ujumla wakiweka jumla ya wachezaji saba kwenye kikosi cha msimu cha Uefa Champions league.

Mechi ya ligi kuu Kenya, Gor Mahia dhidi ya AFC Leopards kukupatia maokoto leo. Suka jamvi lako hapa lakini pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, Keno, Poker, Roullette, na mingine kibao.

Spurs anavunja gundu la kukosa mataji kwa kumuadhibu Manchester United kwa goli 1-0 lililowekwa nyavuni na Brennan Johnson. Ni kama Spurs walikua wanaendeleza kile walichokifanya dhidi ya Manchester United baada ya kukutana kwenye mchezo wa ligi kuu Uingereza miezi miwili kabla ya fainali hiyo.

Ikumbukwe kwamba ni miaka Zaidi ya 17 ilikua imepita bila Spurs kupata taji lolote la Uefa na sasa wameliondoa gundu hilo, je, tutegemee kuona Spurs yenye nguvu ya ushindani kuelekea msimu ujao au mambo yatakua yaleyale.

Ange Postecoglou ana kazi ya ziada kurudisha matumaini ya mashabiki wa Spurs ingawa katwaa taji hilo kwani msimamo wa ligi kuu haukua mzuri kabisa kwake pamoja na kufanya vizuri kwenye michuano ya Uefa champions league atakayoshiriki mara baada ya kutwaa taji la Europa. Jisajili na undelee kutengeneza faida kwa kuweka ubashiri wako kwa Meridianbet.

Kwingineko kwenye Conference league, Chelsea wameamua kuandika historia yao ya kipekee, klabu ya kwanza kushinda mataji yote manne ya Uefa. Real Betis walijaribu kupambana lakini wakahukumiwa na ubora wa wapinzani wao na kukubali kichapo kizito cha magoli 4-1. Wachezaji kama Marc Guiu, Christopher Nkunku, Kiernan Dewsbury-Hall, Enzo Fernández na Jadon Sancho waliibeba Chelsea kufikia mafanikio ya michuano hiyo.

Kwa kifupi soka la ulaya leo sio lile la jana, msimu huu ulileta mapinduzi makubwa ya mbinu za kiuchezaji, majina makubwa na timu zilizofikia kutwaa kuwa tofauti na zilizotazamiwa na walio wengi. Meridianbet inakupa machaguo mengi kwa kila mchezo kila siku, jisajili sasa na uanza ubashiri wako na Meridianbet.

SOMA NA HII  ODDA KUBWA NA MACHAGUO ZAIDI YA 1000 YAPO HAPA....