Home Meridianbet WIN&GO KUJA NA 10% YA GAWIO LA HASARA KILA SIKU…

WIN&GO KUJA NA 10% YA GAWIO LA HASARA KILA SIKU…

Meridianbet

Mwezi huu wa Juni, bahati yako inaweza kuwa karibu kuliko unavyodhani Kwa kujiunga na Win&Go kupitia Meridianbet.

Sio tu utakua na fursa ya kushinda kila baada ya dakika tano, bali pia utapata 10% ya hasara zako kurudi kila siku pale unapopoteza mchezo.

Je, ungependa kucheza mchezo wa bahati nasibu na kujua kwamba hata ukikosa leo, unaweza kupata sehemu ya pesa yako kesho? Win&Go inakupa hiyo fursa. Mchezo huu wa kusisimua unakuruhusu kuchagua namba 6 hadi 10 kati ya 48, na kisha kungojea matokeo yanayotolewa kila baada ya dakika tano.

NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

Lakini hapa ndipo kinachofanya Win&Go kuwa wa kipekee, kuna “gift positions” kwa namba maalumu mfano 13 na 42 ambayo yanakurudishia kiasi ulichoweka hata kama hukushinda, na “Golden Rounds” ambazo zinakupa mara dufu ya ushindi wako.

Kuanzia 01.06.2025 hadi 30.06.2025, ukifikia hasara ya angalau TSh 1,000 kwa siku, utapata 10% ya pesa yako uliyoweka, na ofa inaenda hadi kufikia TSh 15,000 kwa siku. Hii inamaanisha unaweza kucheza kwa uhakika Zaidi bila kuhofia hasara, na pia kuingiza kiwango kikubwa cha pesa endapo namba zako zitashinda.

SOMA NA HII  MERIDIANBET YAADHIMISHA SIKU YA KUPINGA UKATILI KWA WANAWAKE LEO.....