Home Meridianbet PAA NA SUPER HELI, SHINDA SAMSUNG A25 MPYA KABISA….

PAA NA SUPER HELI, SHINDA SAMSUNG A25 MPYA KABISA….

Meridianbet

Kwa mara nyingine tena, Meridianbet, kampuni inayoongoza kwa michezo ya kubashiri nchini Tanzania, inawapa wateja wake sababu ya kutabasamu. Mwezi huu wa Juni, wamezindua promosheni ya kibabe inayojulikana kama “Paa na Super Heli, Shinda Samsung A25” maalum kwa mashabiki wa mchezo wa kasino mtandaoni Super Heli.

Promosheni hii inakupa nafasi ya kujishindia simu ya kisasa ya Samsung A25. Kila Jumatatu, Meridianbet itatoa zawadi hii kwa washindi wawili  ikiwa ni sehemu ya namna yao ya kuthamini uaminifu na ushiriki wako.

Jinsi ya Kushiriki:

Jisajili au ingia kwenye akaunti yako kupitia Meridianbet.co.tz au app ya Meridianbet.

Hakikisha akaunti yako imesajiliwa kikamilifu.

Cheza mchezo wa Super Heli kati ya tarehe 01 hadi 30 Juni, 2025.

Cheza mara nyingi Zaidi. Kila mchezo unaongeza nafasi yako ya kushinda.

NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# Au tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

Zawadi Zinazotolewa:

Kila Jumatatu, washindi 2 watapata simu mpya aina ya Samsung A25.

Jumla ya washindi 8 watazawadiwa katika kipindi cha wiki 4 za mwezi Juni.

Vitu Muhimu vya Kukumbuka:

Promosheni hii ni kwa ajili ya wateja wote wa Meridianbet waliopo Tanzania.

Meridianbet inahifadhi haki ya kufanya mabadiliko au kusitisha promosheni hii wakati wowote bila taarifa ya awali.

Masharti na vigezo vya kawaida vya bonasi na matumizi ya Meridianbet vitatumika.

Kwa mashabiki wa kasino mtandaoni na michezo ya kubashiri, hii ndiyo nafasi yako ya kutinga na Samsung A25 mpya, bila kutumia gharama yoyote.

Endelea kucheza Super Heli ili uzidi kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kupokea simu janja ya Samsung A25 siku ya Jumatatu.

SOMA NA HII  MERIDIANBET NA KMC WAUNGA MKONO JITIHADA ZA HOSPITALI YA KALITA MATERNITY MADALE...