Home news MERIDIANBET YAGUSA MAISHA YA WAKAZI WA MAGOMENI NA MANZESE…

MERIDIANBET YAGUSA MAISHA YA WAKAZI WA MAGOMENI NA MANZESE…

Meridianbet

Wakazi wa Magomeni na Manzese leo hii wameamka na neema kubwa sana baada ya kutembelewa na Meridianbet ambayo inafahamika kama Kampuni kubwa ya ubashiri Tanzania. Wawakilishi kutoka Meridianbet walipeleka msaada wa mahitaji muhimu ya kila siku kwa wakali hao.

Zoezi hili lililohusisha usambazaji wa bidhaa kama vyakula, sabuni, unga, mafuta ya kupikia, mchele na mahitaji mengine ya msingi limewalenga zaidi watoto, wazee na watu wenye uhitaji maalum ili kuhakikisha kuwa wanapata faraja na msaada katika kipindi hiki kigumu cha maisha.

Msafara huo ukiongozwa na Bi Nancy Ingram walisema kuwa wao kama Kampuni wataendelea kuwekeza katika maisha ya watu kwa vitendo vinavyoleta matumaini na faraja kwa wale wanaohitaji. Walisema kuwa jukumu la kijamii si suala la hiari, bali ni wajibu wa kila kampuni inayofanya biashara katika jamii husika. Hii ni kwa sababu kampuni hufaidika kutokana na rasilimali watu, miundombinu ya serikali, na mazingira ya kijamii ambayo huwezesha shughuli za kibiashara kufanyika kwa ufanisi.

Baada ya kupokea msaada wa mahitaji yao wakazi wa Magomeni walionesha furaha isiyo kifani kwa msaada huo. Wengi walikiri kuwa msaada huo umewasaidia kwa kiasi kikubwa, hasa katika kipindi hiki ambapo gharama za maisha zimepanda na bidhaa za vyakula zimekuwa adimu au ghali kwa watu wa kipato cha chini. Kwao, msaada huo haukuwa tu chakula cha mwili, bali pia faraja ya moyo kwa kujua kuwa kuna watu na taasisi zinazowajali.

Meridianbet pia inakuambia kuwa kuna michezo kibao ya kukupatia mkwanja leo kama vile Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

Akizungumza wakati wa zoezi hilo, Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa Meridianbet, Nancy Ingram alisema,   “Meridianbet tunaamini katika kurudisha kwa jamii. Tunatambua kuna watu wengi wanaopitia magumu na jukumu letu kama kampuni si tu kufanya biashara bali pia kuwa sehemu ya suluhisho. Tumekuwa tukifanya shughuli kama hizi mara kwa mara ili kusaidia jamii zinazotuzunguka.”

ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo Meridianbet. Lakini pia wakali hawa wapo vizuri kwenye michezo ya kasino ya matandano ikiwemo AVIATOR ambao ukiwa ni moja ya mchezo pendwa kabisa. Jisajli hapa.

Ukija huku kwenye CSR ndio usiseme kila mwezi huhakikisha kufanya zoezi hili la krejesha kwenye jamii zaidi ya mara mbili ili kutoa shukrani na kutambua kuwa umuhimu wa jamii kwao, kwani bila wao ni ngumu sana kufanya biashara.

Zoezi hili ni sehemu ya mpango endelevu wa CSR wa Meridianbet unaolenga kuboresha ustawi wa jamii kwa kugusa makundi mbalimbali yenye uhitaji kama shule, vituo vya afya, na familia zenye changamoto za kiuchumi.

Meridianbet inaahidi kuendelea kushirikiana na wadau wengine ili kufanikisha miradi inayolenga kubadilisha maisha ya Watanzania wengi zaidi na kuhakikisha jamii inapata matumaini mapya ya kesho iliyo bora.

SOMA NA HII  YANGA JEURI AISEE...INJINIA HERSI AONGEZA PRESHA DILI LA KUMSAJILI CHIVAVIRO...