Home Meridianbet JIPATIE SAMSUNG A25 MPYA KWA KUCHEZA AVIATOR…

JIPATIE SAMSUNG A25 MPYA KWA KUCHEZA AVIATOR…

Meridianbet

Kampuni inayoongoza kwa michezo ya ubashiri nchini Tanzania, Meridianbet, imezindua promosheni kabambe kwa wateja wake wote. Kupitia mchezo unaopendwa sana wa Aviator, sasa wachezaji wote wana nafasi ya kipekee kujishindia simu mpya kabisa aina ya Samsung A25, kwa kushiriki tu katika mchezo huo maarufu wa kasino mtandaoni.

Katika promosheni hii, unacheza Aviator kama kawaida na unapata nafasi ya kujishindia simu ya kisasa bila gharama ya ziada. Hii ni zawadi ya thamani kwa wachezaji waaminifu wa Meridianbet, ikiwa kama njia ya kuwapa shukrani kwa ushiriki wao na kuongeza msisimko zaidi katika burudani ya kila siku ya Aviator.

Kama unavyojua, mchezo wa Aviator ni rahisi na wa kusisimua. Unahusisha ndege inayopaa juu kila sekunde dau lako linavyoongezeka. Siri ya ushindi ni kutoa dau lako (withdrawal) kabla ndege haijalipuka, ukichelewa, unapoteza dau lako. Lakini ukichukua mapema, unaweza kujishindia kiasi kikubwa cha pesa kwa sekunde chache tu.

Sasa, zaidi ya pesa, kuna zawadi ya simu mpya kabisa. Kila wiki, Meridianbet itatoa simu mbili mpya za Samsung A25 kwa washindi walioshiriki kikamilifu kwenye mchezo wa Aviator kulingana na vigezo na masharti. Hii inamaanisha kila Jumatatu, wachezaji wawili watajinyakulia simu hizi kwa kushinda nafasi kwenye droo ya wiki.

NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.

Promosheni hii imeanza rasmi tarehe 1 Julai 2025 na itaendelea hadi tarehe 31 Julai 2025, na ni halali kwa wateja wote waliosajiliwa kwenye tovuti rasmi ya meridianbet.co.tz au waliopakua na kutumia programu ya simu ya Meridianbet. Iwapo hujasajili, huu ni wakati wako wa kujiunga. Ni haraka, rahisi, na salama.

Kwa kushiriki kwenye promosheni hii, wateja wote wanathibitisha kuwa wamekubaliana na vigezo na masharti vilivyowekwa na Meridianbet. Kampuni ina haki ya kubadili au kusitisha promosheni hii wakati wowote endapo kutakuwa na sababu ya msingi. Hii ni kwa kuhakikisha uadilifu na uwazi unazingatiwa muda wote.

Kumbuka, zawadi mbili mpya zitatolewa kila wiki, kwa jumla ya washindi wanane kwa mwezi mmoja. Washindi watatangazwa kila Jumatatu na zawadi zao zitatolewa siku hiyohiyo.

Jiunge sasa na Meridianbet, ingia kwenye mchezo wa Aviator, cheza kwa ustadi, na uwe mmoja wa washindi wa simu mpya za Samsung A25 kila wiki ndani ya mwezi wa Julai 2025.

 

SOMA NA HII  MERIDIANBET WAZIDI KUSHAMIRI DAR KAMA UYOGA...WAKAZI WA FIRE KARIAKOO SASA KUVUA MAMILIONI MLANGONI...