Home Meridianbet LOYALTY PAYS, MERIDIANBET INAKUZAWADIA TSH 10,000,000 KILA IJUMAA…..

LOYALTY PAYS, MERIDIANBET INAKUZAWADIA TSH 10,000,000 KILA IJUMAA…..

Meridianbet

Ijumaa imeteuliwa kuwa siku maalum ya kuwaheshimisha na kuwapa furaha wateja wa Meridianbet kwa utumiaji wao uliotukuka kwenye jukwaa namba moja la michezo ya kubashiri nchini Tanzania. Yaani wale wateja walio loyal kwa kampuni ni zamu yao kumbukwa sasa kwa uaminifu wao uliotukuka.

Mchongo wenyewe upo hivi, bonasi za casino zenye thamani ya mpaka milioni 10 zitakua zikitoka kila siku ya ijumaa kwenda kwa wateja wa Meridianbet walioitumia zaidi kampuni hii kufanya bashiri zao kwa kipindi cha wiki nzima.

Njia ya ushiriki ni nyepesi sana kwani unachotakiwa kufanya ni kuwa na akaunti ya Meridianbet iliyosajiliwa kupitia tovuti yao au app ya meridianbet. Kisha cheza michezo ya kasino kwa kutumia pesa taslimu (cash) hadi Alhamisi saa 5 usiku kisha kaa usubiri bonasi yako siku ya ijumaa.

NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

Lakini sasa, ili uingie kwenye orodha ya wapokea bonasi, unapaswa kucheza kwa kiwango cha chini cha TSH 50,000 kwa siku na ukishiriki siku zote saba za wiki, basi utakua umejiongezea nafasi kubwa ya kupata bonasi kubwa kwani utavuna pointi sana na kila pointi ni sawa na TSH 2,500, na pointi zako hukokotolewa kulingana na kiwango chako cha dau na aina ya mchezo uliocheza.

Kumbuka kwamba michezo tofauti ina alama tofauti: Slots na Games hutoa alama 4 kwa kila mzunguko, Roulette na Poker ni pointi 1, huku Blackjack na Quiz Games zikiwa na thamani ya 0.5.

Ni muhimu kufahamu kuwa dau lililowekwa kwa kutumia bonasi halitahesabiwa kwenye utoaji wa zawadi. Pia, bonasi yoyote utakayopata lazima ichezwe mara 50 kwenye slot games kabla ya kugeuzwa kuwa pesa taslimu huku kiasi cha juu unachoweza kutoa kama ushindi kutoka kwenye bonasi moja ni TSH 150,000 tu.

Meridianbet watakua wakitangaza orodha ya washindi kila Ijumaa saa 9:00 alasiri kupitia ukurasa wa promosheni, na washindi watajulishwa mara moja pale bonasi inapowekwa kwenye akaunti zao. Kwa uwazi zaidi na kudhibiti udanganyifu, Meridianbet wanahifadhi haki ya kusitisha, kubadilisha au kuondoa mchezaji yeyote katika promosheni endapo kutabainika matumizi mabaya ya sheria, udanganyifu au matatizo ya kiufundi.

Ikiwa unafurahia michezo ya kasino na unataka kuona faida ya muda na pesa zako, basi Meridianbet ni sehemu pekee ya kulithibitisha hilo. Jisajili sasa na Meridianbet na uanze kuishi kiloyality.

 

SOMA NA HII  UTAMU WA UEFA KUKUJIA HIVI KARIBUNI....ODDS ZA UBINGWA HIZI HAPA...