Home Meridianbet SAFARI YA KIFAHARI HADI MALTA, FURSA ADIMU KWA WAPENZI WA KASINO MTANDAONI…..

SAFARI YA KIFAHARI HADI MALTA, FURSA ADIMU KWA WAPENZI WA KASINO MTANDAONI…..

Meridianbet

Je, umewahi kujiuliza itakuwaje kama utapata nafasi ya kusafiri kwenda visiwani Malta, eneo maarufu lililopo katika Bahari ya Mediterania, linalojulikana kwa mandhari yake ya kuvutia na historia ya kupendeza bila kutumia hata shilingi moja kutoka mfukoni mwako? Kwa mara ya kwanza kabisa, ndoto hii sasa imekuwa halisi kupitia kampeni ya kipekee inayotolewa na kampuni ya michezo ya kubashiri inayoongoza nchini Tanzania, Meridianbet, chini ya jina la promosheni ya kuvutia kabisa The Festival Malta 2025.

Kupitia promosheni hii, Meridianbet imewafungulia milango wapenzi wa michezo ya kasino mtandaoni kushiriki katika tamasha kubwa zaidi la Poker duniani. Tamasha hili linatarajiwa kufanyika katika jiji la Portomaso, visiwani Malta kuanzia tarehe 15 hadi 21 Septemba 2025.

Kitu cha kipekee kuhusu fursa hii ni kwamba mshiriki anayefuzu qualifiers, hatalazimika kugharamia chochote isipokuwa tu nauli yake ya kwenda Malta. Ada ya ushiriki kwenye Main Event, malazi ya kifahari katika hoteli za nyota tano, posho za matumizi na hata shughuli zote za burudani zitakazofanyika sambamba na tamasha hilo zitagharamiwa na Meridianbet.

NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.

Hebu fikiri kidogo, Wewe ukiwa unatazama mawimbi ya Bahari ya Mediterania, ukicheza Poker na wachezaji kutoka pembe mbalimbali za dunia, ukihudumiwa kifalme, ukila vyakula vya hadhi ya kimataifa, na ukilala kwenye hoteli ya hadhi ya juu na yote haya yakifanyika kwa gharama ya Meridianbet. Hii ndiyo maana halisi ya ndoto kugeuka kuwa kweli.

Mashindano ya mchujo yanafanyika kila siku, wakati mashindano makuu hufanyika kila Jumanne, Ijumaa, na Jumapili. Viwango vya kuingia kwenye mashindano hivi vinatofautiana kulingana na hatua ya mchezo, kuanzia TZS 750 hadi TZS 300,000. Promosheni ilianza rasmi tarehe 14 Julai 2025 na inatarajiwa kuhitimishwa tarehe 8 Septemba 2025, hivyo bado una muda wa kutosha kujiandaa na kujaribu bahati yako.

Zawadi zinazotolewa kupitia promosheni hii ni za kuvutia na zenye thamani kubwa. Kuna kifurushi kamili chenye thamani ya TZS 5,550,000 kinachojumuisha huduma zote muhimu kwa safari na ushiriki wako kwenye tamasha la Poker. Kwa wachezaji ambao hawatapata kifurushi kamili, bado kuna nafasi ya kushinda kiti cha Main Event chenye thamani ya TZS 1,650,000, kinachowapa uwezo wa kushiriki kwenye mashindano hayo ya hadhi ya juu kimataifa.

Hii ni nafasi ya kuonesha uwezo wako kwenye meza ya Poker, kukutana na wachezaji wakubwa duniani, na kuwakilisha Tanzania katika jukwaa la kimataifa. Zaidi ya yote, ni safari ya kukuletea hadhi na heshima kwa njia ya mchezo unaoupenda. Meridianbet imejidhihirisha tena kuwa si tu kwamba ni jukwaa la kubashiri, bali pia ni daraja la mafanikio kwa wachezaji wake.

Usikubali nafasi hii ikupite. Jisajili sasa Meridianbet, shiriki kwenye qualifiers za The Festival Malta 2025, na uwe miongoni mwa wachache waliowahi kuishi ndoto ya kucheza Poker kwenye visiwa vya kifahari vya Malta.

SOMA NA HII  KUPITIA HAALAND TU UTAKUWA NA UHAKIKA WA MOAKOTO YA MERIDIANBET....ZINGATIA HAYA TU..