Home Meridianbet TIKETI YAKO YA BAHATI, PLAYSON SHORT RACES IMEANZA….

TIKETI YAKO YA BAHATI, PLAYSON SHORT RACES IMEANZA….

Meridianbet

Meridianbet inawasha moto na Playson Short Races, fursa ya kipekee ya kushiriki katika mbio za kasino mtandaoni zinazokuletea mamilioni ya pesa taslimu kila siku. Hii sio tu mchezo, ni nafasi yako ya kujipiga kifua, kuonyesha uwezo wako kwenye michezo ya kasino, na kutembea kifua mbele kama bingwa aliyefanikiwa kujipatia ushindi mkubwa.

Kila unpotimu usiku wa kuanzia saa 4:00 hadi 8:50, sloti za Playson zinakungoja. Kila mzunguko ni hatua yako ya kupanda kwenye leaderboard ya washindi. Unachohitaji ni dau dogo la TZS 600 tu ili ujiunge na mbio 10 za kasi zinazotoa zawadi za kustaajabisha kila siku. Ukishinda, pointi zako zinaongezeka, na kila pointi inakusogeza karibu na pesa taslimu.

NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.

Jambo la kufurahisha zaidi ni kwamba washindi wanalipwa moja kwa moja kwenye akaunti zao za Meridianbet ndani ya siku tatu. Hakuna kuchelewa wala hakuna drama, ni ushindi wa papo hapo kwa wachezaji wa kweli. Mashindano haya yanagawanya TZS Bilioni 6 kila mwezi, lakini ni kwa wachezaji wanaotumia pesa halisi kuweka dau, bila matumizi ya bonasi. Hapa, ni wewe na bahati yako tu ndani ya mchezo.

Tarehe 9 Agosti, mbio hizi zilianza, na zitaendelea hadi mwisho wa mwezi. Usikae kando ukiangalia wengine wakishinda. Fungua akaunti yako ya Meridianbet kupitia tovuti au app, weka dau lako la TZS 600, na uingie kwenye burudani la aina yake ukiwa pamoja na washindi wa Playson Short Races.

SOMA NA HII  EUROPA LEAGUE INATOA PESA NYINGI LEO....ODDS ZA USHINDI HIZI HAPA...