Home Meridianbet JUMANNE YA KIVUMBI, NI MECHI KALI, ODDS KUBWA, NA USHINDI MKUBWA…

JUMANNE YA KIVUMBI, NI MECHI KALI, ODDS KUBWA, NA USHINDI MKUBWA…

Meridianbet

Ni Jumanne ya moto, na Uingereza inatikisa kwa kishindo cha raundi ya tatu ya Carabao Cup. Mashabiki wanashusha pumzi wakisubiri mechi za leo ambapo si tu vikosi vinapimana ubabe, bali pia mashabiki wanapimana maarifa kupitia bashiri za Meridianbet zenye odds zilizoshiba.

Chelsea, chini ya Enzo Maresca, wanatua Sincil Bank kwa safari ya kuwakabili Lincoln City. Mabingwa hawa wa Dunia wanaendeleza kampeni yao ya kukusanya vikombe msimu huu. Kwa upande wa bashiri, odds zimepikwa kwa ustadi huku wapenzi wa Kasino wakiwekea michezo mingi pia.

Everton hawana muda wa kuomboleza kipigo cha derby. Leo wanarudi Molineux kupambana na Wolverhampton Wanderers. Historia inasema Everton waliwabamiza Wolves mabao 3-2 mara ya mwisho, lakini je, leo wataandika ukurasa mpya? Bashiri kupitia Meridianbet, odds zipo tayari kwa ajili yako.

Kwa mashabiki wa kasino, leo ni siku ya kuchuma. Poker, Keno, Roulette, Aviator na Superheli zinakusubiri kwa mikono miwili. Tembelea meridianbet.co.tz au piga 14910# na uanze safari yako ya ushindi.

Liverpool, baada ya kumalizana kibingwa na Everton wikiendi iliyopita, wanarejea Anfield kwa mtanange dhidi ya Southampton. Mechi hii ni ya muhimu kwa Liverpool katika harakati za kutwaa taji la Carabao. Bashiri na Meridianbet na ufurahie odds kubwa za kibabe kwa mchezo huu wa moto.

Brighton & Hove Albion nao wanashuka dimbani Oakwell kupambana na Barnsley kutoka ligi daraja la kwanza. Ingawa Brighton hawajawa na msimu mzuri kwenye ligi kuu, mechi hii inaweza kuwa nafasi yao ya kurejea kwenye mstari. Meridianbet wameweka odds za kuvutia kwa mchezo huu.

Michuano ya Carabao Cup imejaa msisimko, na Meridianbet ndio lango lako la ushindi. Jisajili kupitia app au tovuti rasmi na uanze kubashiri kwa uhakika.

SOMA NA HII  MERIDIANBET YAKUPA NAFASI YA KISHUA – SHINDA SIMU MPYA YA SAMSUNG A25!