Home Meridianbet MOTO WA UEFA CHAMPIONS LEAGUE KUENDELEA LEO….

MOTO WA UEFA CHAMPIONS LEAGUE KUENDELEA LEO….

Meridianbet

Mashabiki wa soka barani Ulaya na duniani kote wanajiandaa kwa usiku mwingine wa burudani ya kiwango cha juu, huku UEFA Champions League ikiwaletea mechi tisa za kusisimua. Kila mchezo una ladha yake, historia yake, na matarajio makubwa kwa mashabiki na wapenzi wa Meridianbet wapenda kubashiri.

Qarabag FK kutoka Azerbaijan wanakutana na FC Copenhagen ya Denmark katika mechi ya kuvutia kati ya timu zinazopambana kuandika historia mpya. Qarabag japo wapoo nyumbani, lakini Copenhagen wana uzoefu mkubwa wa mashindano ya Ulaya. Odds za mchezo huu ni za ushindi wa bure kabisa.

Union St. Gilloise wa Ubelgiji wanawakaribisha Newcastle United ya England. Newcastle, baada ya kipigo kutoka kwa Barcelona, wanatafuta ushindi wa ugenini, lakini Gilloise wameonyesha uwezo mkubwa kwa kuibuka na ushindi kwenye mchezo wao wa awali. Ni muda wa wewe kuweka uamuzi wako kwenye mchezo huu kupitia Meridianbet.

Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi. Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.

AS Monaco wanakutana na kibarua kizito sana dhidi ya vijana wa Guardiola, Manchester City katika mechi ya hadhi ya juu. City wanakuja na kikosi chenye ubora wa hali ya juu, lakini Monaco wana historia ya kuwadhalilisha vigogo, kumbuka msimu wa 2016/17 walivyowatoa City kwa kipigo cha 3-1.

Arsenal wanapambana na Olympiacos katika mechi ambayo imekuwa na historia ya matokeo ya kushangaza. The Gunners wanahitaji ushindi wa nyumbani, lakini Wagiriki hawa wamewafunga Arsenal kwenye mchezo wao wa mwisho kukutana. Odds za mchezo hizi ni kubwa kwa ajili yako mbashiri.

Hii inatazamiwa kama mechi ya siku ikiwakutanisha Barcelona na PSG, vigogo wa soka la Ulaya. Mashabiki wanaikumbuka La Remontada ya mwaka 2017, lakini PSG sasa wana kikosi kipya chenye nguvu na kasi. Ni vita ya mastaa, huku Lewandowski kule Dembele.

Bayer Leverkusen wanakutana na PSV Eindhoven katika mechi ya kuvutia kati ya timu zinazopenda soka la kushambulia. Leverkusen wanakuja na moto wao wa Bundesliga, huku PSV wakitegemea ubunifu wa vijana wao wa Kiholanzi.

Borussia Dortmund wanawakaribisha Athletic Club ya Bilbao. Dortmund wanakumbukwa kwa comeback yao ya mchezo wa awali dhidi ya Juventus, lakini Athletic Club ni wagumu na wana nidhamu ya hali ya juu uwanjani. Mechi hii inatarajiwa kuwa ya kiufundi na yenye ushindani mkubwa huku ikiwa na fursa ya pesa kwa wabashiri.

Napoli wanakutana na Sporting CP ya Ureno katika mechi ya kuvutia. Napoli wanakuja na rekodi nzuri ya nyumbani, lakini Sporting ni timu yenye nidhamu na mbinu za kisasa. Mashabiki wanatarajia mabao na burudani ya hali ya juu.

Villarreal wanapambana na Juventus katika mechi ya kihistoria. Juve wanahitaji ushindi ili kurejesha heshima yao Ulaya, lakini Villarreal wamekuwa wagumu nyumbani na wana rekodi nzuri dhidi ya timu kubwa.

Usiku huu wa UEFA Champions League ni zaidi ya mechi, ni tamasha la soka, hisia, na fursa kwa mashabiki na wapenda kubashiri kufurahia kila dakika.

SOMA NA HII  WAFALME WA MICHEZO YA KASINO TZ MERIDIANBET...LEO WANAKUJIA NA MCHONGO HUU WA KUTOBOA...