Home Meridianbet MERIDIANBET YAWAKARIBISHA WACHEZAJI KWA BONASI TATU ZA UKARIBISHO – HADI 600% NA...

MERIDIANBET YAWAKARIBISHA WACHEZAJI KWA BONASI TATU ZA UKARIBISHO – HADI 600% NA MIZUNGUKO YA BURE 450!

Meridianbet

Meridianbet imezindua rasmi ofa kabambe ya Bonasi ya Ukaribisho kwa Dau la Kwanza, la Pili na la Tatu, inayolenga kuwapa wateja wapya mwanzo mzuri kwenye safari yao ya ubashiri na michezo ya kasino mtandaoni.

Kupitia ofa hii ya kipekee, mchezaji mpya anaweza kufurahia bonasi hadi 600% kwa jumla, pamoja na mizunguko ya bure hadi 450! Bonasi hizi tatu huja kwa hatua zifuatazo:

DAU LA KWANZA – Bonasi ya 150% + Mizunguko ya Bure 150

Baada ya kujisajili kwenye HIII HAPA, mchezaji anapaswa kuweka dau lake la kwanza ndani ya siku 6 (saa 144). Ili kufuzu:

  • Tumia dau lote mara 2 kwa kubashiri michezo yenye odds 1.95 au zaidi, au
  • Fanya mzunguko wa mara 3 (3x rollover) kwenye michezo ya kasino (slots).

Ukikamilisha masharti hayo ndani ya siku hiyo hiyo, unapata:

  • 150% Bonasi ya Michezo, na
  • 150 Mizunguko ya Bure kwenye

DAU LA PILI – Bonasi ya 200% + Mizunguko ya Bure 150

  • Weka dau la pili ndani ya siku 8 (saa 192) baada ya usajili.
  • Masharti ya matumizi ni sawa na yale ya dau la kwanza.

Baada ya kutimiza:

  • 200% Bonasi ya Michezo, na
  • 150 Mizunguko ya Bure kwenye Kasino.

DAU LA TATU – Bonasi ya 250% + Mizunguko ya Bure 150

  • Weka dau la tatu ndani ya siku 10 (saa 240) baada ya kujisajili.
  • Tumia dau lote kwa masharti yaliyotajwa hapo juu.

Ukikamilisha hatua hii, utazawadiwa:

  • 250% Bonasi ya Michezo, na
  • 150 Mizunguko ya Bure kwenye Kasino.

FURAHIA NDOTO ZAKO – ZIMEKARIBIA KWELI!

Ni nadra sana kupata nafasi ya kupata bonasi tatu kwa mpigo! Meridianbet inageuza ndoto yako kuwa ukweli.

Jisajili leo, weka dau lako, timiza masharti na anza mbio zako za kushinda kwa kishindo!

Kwa maelezo zaidi, tembelea: HAPA Au pakua App ya Meridianbet kwenye Android na iOS.

Meridianbet – Chagua Tofauti. Chagua Mabingwa!

 

SOMA NA HII  SHINDA MPAKA MARA 10,000 YA DAU LAKO KUPITIA SLOT YA KIJANJA YA MERIDIANBET...