Home Meridianbet WEKA DAU, USHINDE SAMSUNG A26 MPYA KUTOKA MERIDIANBET…

WEKA DAU, USHINDE SAMSUNG A26 MPYA KUTOKA MERIDIANBET…

Meridianbet

Meridianbet imezindua ofa mpya kabambe kwa wapenzi wa michezo ya kubashiri na burudani ya kasino nchini. Kuanzia tarehe 01 hadi 30 Oktoba 2025, kila mchezaji mpya anayejisajili na Meridianbet atapata nafasi ya kipekee ya kushinda simu mpya aina ya Samsung A26 bure kabisa bila malipo yoyote ya ziada.

Kupata nafasi katika droo hii ni rahisi. Mchezaji anatakiwa kuweka na kucheza dau la angalau shilingi 5,000 kila wiki kwenye ligi yoyote ya mpira wa miguu. Kila wiki, wachezaji wawili wenye bahati watapata zawadi ya Samsung A26 mpya, na jumla ya simu nane zinatarajiwa kutolewa katika kipindi chote cha promosheni. Kadri unavyocheza zaidi, ndivyo nafasi yako ya kushinda inavyoongezeka.

Promosheni hii inapatikana kwa watumiaji wote wanaojiandikisha kupitia tovuti rasmi ya Meridianbet (www.meridianbet.co.tz) au kupitia app ya Meridianbet. Kampuni inawahimiza wateja wake kutumia fursa hii si tu kufurahia michezo ya kubashiri bali pia kuongeza uwezekano wa kujinyakulia zawadi nono ya kifahari.

Zaidi ya kubashiri soka, Meridianbet ina michezo mbalimbali ya kasino kama vile Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli na mingine mingi. Kila mchezo ni fursa mpya ya ushindi, na kila mzunguko unaweza kubadilisha maisha ya mchezaji. Jiunge kwa kupiga *149*10# au tembelea tovuti ya Meridianbet ili kufurahia dunia ya ushindi inayopatikana kila dakika.

Kwa mujibu wa masharti ya promosheni hii, tiketi za Turbocash na zile za mfumo hazitahusishwa katika droo hii. Meridianbet pia imeweka wazi kuwa ina haki ya kubadilisha masharti au kuahirisha promosheni wakati wowote inapohitajika.

Meridianbet inaendelea kuthibitisha nafasi yake kama kinara wa michezo ya kubashiri nchini, kwa kutoa fursa halisi za ushindi na zawadi zinazowapa wachezaji msisimko zaidi ya burudani.

Hii ni nafasi ya kipekee kwako wewe mpenda ubashiri na michezo kujiunga, kucheza, na kuondoka na Samsung A26 mpya mikononi mwako bila kuingia gharama yoyote ile ya ziada.

SOMA NA HII  MERIDIANBET KUTOA MIL 10,000,000/= MWEZI SEPTEMBA.....