Home Habari za michezo MUDA WA KUTUSUA NA MERIDIANBET UMEFIKA

MUDA WA KUTUSUA NA MERIDIANBET UMEFIKA

32
0

Anza kutengeneza pesa zako na wakali wa ubashiri Tanzania yaani Meridinabet kwani ODDS za kibabe zipo kwenye michuano hii mikubwa ya AFCON. Ingia kwenye akaunti yako na ubeti sasa.

Tengeneza pesa mechi za AFCON ambapo Tanzania atakuwa kibaruani dhidi ya Tunisia ambapo kila timu inahitaji ushindi kwenye mechi hii leo. Meridianbet imeipa mechi hii ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000. Tandika jamvi hapa.

Kwenye hilo hilo Kundi C, Nigeria ataumana dhidi ya Uganda kutoka Afrika Mashariki, huku takwimu zikionesha kuwa mechi ya mwisho kukutana, hakuna ambaye alikuwa mbabe kati yao. Nafasi ya wewe kuondoka na mkwanja ipo hapa. Jisajili sasa.

Kwenye Kundi D, kutakuwa na mechi nyingine kali kati ya Benin vs Senegal ambao mechi ya mwisho kucheza ya Kitaifa waliondoka na ushindi. Wenyeji wao mechi ya mwisho waliyocheza waliambulia kipigo kikubwa. Je leo hii wanaweza wakaondoka na ushindi?. Tengeneza jamvi hapa.

Botswana atakipiga dhidi ya DR Congo huku mechi hii ikiwa ni moja ya mechi bora kabisa ya kutazama. Kila timu inahitaji ushindi siku ya leo na wakali wa ubashiri Tanzania, Meridianbet wanakwambia kuwa nafasi ya ushindi unayo leo. Beti hapa.

Ondoka na ushindi haraka kwenye michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roulette,Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Ligi kuu ya Uingereza EPL, itaendelea ambapo Newcastle United atakuwa ugenini kumenyana dhidi ya Burnley ambao msimu huu mpaka sasa wana pointi 10 pekee wakiwa nafasi ya 19 kwenye msimamo wa ligi, huku wageni wakiwa nafasi ya 12. Odds kubwa zipo mechi hii. Ingia na ubashiri sasa.

Wakati kwa upande wa Chelsea wao wataumana dhidi ya AFC Bournemouth ambapo mechi ya mwisho kukutana hakuna ambaye alikuwa mbabe kati yao. Tofauti ya pointi kati yao hadi sasa ni 7 pekee. Machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Je vijana wa Maresca wataondoka na ushindi?. Jisajili hapa.

Arsenal watakipiga dhidi ya Aston Villa ambao mechi iliyopitwa waliyoonana vijana wa Unai waliondoka na ushindi. The Gunners wapo kwenye mbio za ubingwa msimu huu baada ya msimu uliopita kuambulia patupu. Nafasi ya kushinda mechi hii pale Meridianbet anapewa Arteta na vijana wake. Beti hapa.

Manchester United wao watamkaribisha Wolves ambao wamekuwa na msimu mbovu sana wakiwa nafasi za mwisho. Mechi ya kwanza walipokutana msimu huu vijana wa Amorim waliondoka na ushindi mnono. Nafasi ya kushinda pale Meridianbet amepewa mwenyeji. Wewe unampa nani dau lako akupe ushindi?. Suka jamvi hapa.