Pesa iko nje nje leo hii kwenye mechi za Europa ndani ya Meridianbet kwani kila kitu unachotaka kipo hapa kuanzia Odds kubwa, machaguo zaidi ya 1000. Jisajili sasa na uanze safari yako ya ushindi.
Viktoria Plzen atakuwa uso kwa uso dhidi ya FC Portokutoka kule Ureno ambao mpaka sasa kwenye mechi 6 walizocheza wameshinda 4 huku wenyeji wao wakishinda mechi zao 2. Kila timu inahitaji ushindi kwenye mechi hii siku ya leo yuku machaguo zaidi ya 1000 yakiwa kwenye mechi hii. Tengeneza jamvi hapa.
AS Romawatakuwa kibaruani dhidi ya VFB Stuttgart ya kule Ujerumani ambao wapo nafasi ya 9 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 10. Timu zote zina pointi 12 kwenye msimamo wa Europa huku Meridianbet wakiipa mechi hii ODDS KUBWA. Tandika jamvi hapa.
Vilevile Celta Vigo atakipiga dhidi ya Lille kutoka kule Ufaransa ambao kwenye mechi 6 walizocheza hadi sasa wamepata pointi 9 halikadhalika kwa mwenyeji naye ana pointi 9. Kila timu inahitaji ushindi leo ili iweze kusonga mbele kwenye nafasi ya juu kabisa. Je nani unampa nafasi ya kushinda leo?. Bashiri hapa.
Tengeneza pesa kwenye michezo ya Kasino ya mtandaonikama vile Keno, Aviator, Poker, Roulette,Super Helina mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tzau piga *149*10#kisha uanze safari yako ya ushindi.
Pesa ipo mechi ya Bolognavs Celtic ambapo toauti ya pointi kati yao hadi sasa ni 4 pekee. Kila timu inahitaji ushindi siku ya leo iweze kusogea mbele kwenye msimamo wa Europa. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS KUBWA. Ingia kwenye akaunti yako n ubashiri hapa.
Naye Aston Villa atakuwa ugenini kusaka ushindi dhidi ya Fenerbahce ambao wapo nafasi ya 12 huku wageni wao wakiwa nafasi ya 3. Vijana wa Unai wanahitaji ushindi kuendelea kukaa kileleni huku wenyeji nao wanahitaji kupata ushindi wakiwa nyumbani. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 Meridianbet. Jisajili sasa.
Feyenoordnao watakuwa kibaruani dhidi ya Sturm Grazambapo timu hizi zilikutana mara ya mwisho 2022 kwenye hatua ya makundi ambapo kila mtu alishinda mechi ya nyumbani kwake. Tofauti ya pointi kati yao hadi sasa ni 1 pekee huku wote wakiwa na hali mbaya kwani wapo chini kwenye msimamo wa Europa. Suka jamvi hapa.
Kwa upande wa Freiburg kutoka kule Ujerumani wao watakuwa nyumbani dhidi ya Maccabi Tel Aviv ambao mpaka sasa hawajashinda mechi yoyote kati ya 6 walizocheza wakiambualia sare pekee. Mwenyeji yeye yupo nafasi ya 5 akishinda mechi 4 hadi sasa. Je nani kuondoka na ushindi?. Tengeneza jamvi hapa.
Pia Real Betisyeye atakuwa ugenini kumenyana dhidi ya PAOK FCambao wameshinda mechi 2 pekee huku wao wakishinda mechi 4 pekee hadi sasa. Tofauti ya pointi kati yao ni 5 hadi sasa, lakini Meridianbet wameipa mechi hii ODDS KUBWA. Jisajili hapa.