Home Habari za Simba HUU NI MSIMU MPYA WA USHINDI KUPITIA JIMIXX

HUU NI MSIMU MPYA WA USHINDI KUPITIA JIMIXX

0

Kuna nyakati chache ambapo burudani, teknolojia na fursa ya ushindi hukutana na kuunda kitu kikubwa zaidi. Kupitia ushirikiano wa Meridianbet na Mixx by Yas, sasa Tanzania inaingia kwenye hatua mpya ya promosheni za michezo ya kubashiri kupitia kampeni ya JIMIXX na Ushindi Bab Kubwaa, kampeni inayogeuza kila dau kuwa nafasi halisi ya kushinda zawadi kubwa.

Kuanzia Januari 27 hadi Aprili 27, 2026, promosheni hii inaendelea kuleta uzoefu mpya kwa mbashiri wa leo anayehitaji urahisi wa miamala, kasi ya huduma na thamani ya wazi kwa kila dau analoweka. Huu sio mchezo wa bahati pekee, ni mfumo uliojengwa kuhakikisha kila mshiriki anakuwa na nafasi ya kushinda zaidi ya matokeo ya kawaida ya mkeka.

Kupitia promosheni hii, mteja akiweka dau la Tsh 5,000 au zaidi kupitia Mixx by Yas kwenye akaunti ya Meridianbet, anafunguliwa nafasi ya kupata mizunguko ya bure kwenye michezo ya kasino kutoka Expanse Studios. Hii inaongeza burudani na kuongeza nafasi za ushindi kwa wapenzi wa kasino mtandaoni.

Mbali na mchezo huu, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Msisimko wa promosheni hii unaonekana kupitia zawadi zake. Kuna mizunguko ya bure kila siku, zawadi za kila wiki zikiwemo simu mpya za Samsung A26 mbili kila wiki, pamoja na zawadi kuu zinazojumuisha Bajaj mpya mbili, Pikipiki Boxer, na TV Hisense Inch 55. Zawadi hizi zimechaguliwa kwa kuzingatia uhitaji wa vijana wengi zaidi katika jamii.

Ushiriki ni rahisi kwa kila mteja. Unaweza kuweka pesa kupitia Mixx Super App au kwa kupiga *150*01#, chagua Malipo ya Bili, ingiza Namba ya Biashara 444999, kisha weka kiasi unachotaka. Droo za wiki zinafanyika kila Jumatano na Ijumaa. Tembelea meridianbet.co.tz au application ya simu ya Meridianbet na uanze kushiriki katika msimu huu mpya wa ushindi.