Je unajua kuwa ukiwa na Meridianbet ni rahisi sana kwako kutusua siku ya leo?. Mechi kibao zipo kuhakikisha huondoki patupu hapa suka jamvi lako sasa na uanze kubashiri hapa.
Kule Italia kutakuwa na mchezo mkali wa Coppa Italia wa Robo Fainali kati ya Napoli vs Como 1907. Mabingwa hao wa Ligi wanataka taji hili msimu huu lakini je wataweza kupata ushindi mbele ya vijana wa Fabregas ambao wanaonekana kuwa bora sana msimu huu. Tofauti yao kwenye ligi mpaka sasa ni pointi 5. Tengeneza jamvi hapa.
CHAMPIONSHIP kule Uingereza nayo itaendelea Leicester City atakuwa nyumbani kukiwasha dhidi ya Southampton ambapo tofauti ya pointi kati yao ni 2 pekee huku mwenyeji akitaka kulipa kisasi baada ya kupoteza mechi ya mwisho kukutana. Je nani kuondoka na ushindi siku ya leo?. Jisajili hapa.
Mtanange mwingine ni huu Oxford United dhidi ya Norwich City ambao wapo nafasi ya 19 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 19 kwenye msimamo wa ligi. Kila timu inahitaji ushindi siku ya leo kujiweka kwenye nafasi nzuri. Je nani kuondoka na ushindi siku ya leo?. Beti sasa.
Pia kwa upande wa Birmingham City wao wataumana vikali dhidi ya West Bromwich Albion ambao wapo nafasi ya 22 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 13. Tofauti ya pointi kati yao hadi sasa ni 10. Ingia kwenye akaunti yako na usuke jamvi lako la ushindi leo.
Tusua chap chap na michezo ya kasino ya mtandaonikama vile Keno, Aviator, Poker, Roulette,Super Helina mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tzau piga *149*10#kisha uanze safari yako ya ushindi.
Ligi pendwa Duniani EPL, kuendelea leo kwa mechi za pesa Chelsea atakuwa Stamford Bridge kukipiga dhidi ya Leeds United ambao mechi ya kwanza ya ligi walivyokutana The Blues walipoteza. Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kushinda mwenyeji. Wewe pesa yako unaiweka kwa nani leo?. Bashiri hapa.
Kwa upande wa Tottenham Spurswao wataumana vikali dhidi ya Newcastle Unitedambao wapo nafasi ya 11 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 14 kwenye msimamo wa ligi. Tofauti yao mpaka sasa ni 4 pekee. Kila timu inahitaji ushindi kwenye huu mchezo siku ya leo. Jisajili hapa.
Nao Manchester United watakuwa ugenini kukiwasha dhidi yaWest Ham Unitedhuku ushindi huu ukiwa ni muhimu kwa vijana wa Carrick ili waweze kusogea nafasi za juu. Mara ya mwisho kukutana hawa wawili, walitoshana nguvu. Meridianbet inakwambia kuwa nafasi ya kushika mshiko iko kwenye mechi hii. Suka jamvi hapa.