Je, umewahi kuota kushinda zawadi kubwa kwa dau dogo? Sasa Meridianbet inakuleta fursa hiyo kupitia Meridian Jackpot, jackpot ya kipekee inayokuwezesha kubashiri mechi 13 zilizochaguliwa kwa makini na kushinda kiasi kikubwa cha pesa. Hata kama mechi yoyote itachelewa au kufutwa, mechi tano za ziada ziko tayari kuhakikisha fursa yako ya kushinda haitenguki.
Kila utabiri sahihi una thamani halisi, na zawadi hugawanywa kulingana na idadi ya matokeo sahihi. Mshindi anayebashiri mechi 13 kikamilifu anaweza kushinda TZS 200,000,000, mechi 12 sahihi ni TZS 10,000,000, na mechi 11 sahihi ni TZS 1,000,000. Hata kama washindi wengi watafaulu, zawadi hugawanywa kwa haki, kuhakikisha kila mshiriki anapata fursa ya kushinda.
Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi, Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.
Meridianbet inahakikisha kila mshiriki anashiriki kwa usawa. Kampuni inachukua hatua dhahiri dhidi ya udanganyifu na tabia zisizo halali, na ina haki ya kusitisha au kufuta Meridian Jackpot kulinda uadilifu wa mchezo. Mechi zisizokamilika zinabadilishwa na mechi za akiba, kuhakikisha kila mshiriki anapata matokeo sahihi na fursa ya kushinda bila wasiwasi.
Washindi wanatakiwa kuthibitisha utambulisho wao katika ofisi za Meridianbet kabla ya malipo kufanyika, kwa hundi au uhamisho wa benki. Zawadi haihamishwi na lazima itolewe ndani ya siku saba. Meridianbet pia inaweza kutumia majina, picha, na sauti za washindi kwa matangazo na kampeni za masoko, ikitoa heshima na utambulisho kwa washindi.
Shiriki sasa na uwe miongoni mwa wachezaji watakaojaribu bahati yao. Meridian Jackpot ni nafasi yako ya kipekee ya kubashiri mechi 13 sahihi na kushinda zawadi kubwa. Kila dau linaweza kukupeleka karibu na ushindi mkubwa. Hii ni nafasi yako ya kubadilisha maisha yako