Dar es Salaam, Tanzania – WasafiBet imetangaza rasmi kurudi kwa kampeni yake maarufu ya SEREREKA, ikiwa imeboreshwa ili kuwapa wateja wapya nafasi kubwa zaidi ya kushinda kupitia App ya WasafiBet.
Kupitia ofa hii, watumiaji wapya watapata BONUS ya TSh 2,000 papo hapo baada ya kuweka bet inayokidhi vigezo vilivyowekwa.
Maelezo ya Ofa
Ili kushiriki katika kampeni ya SEREREKA, mtumiaji anatakiwa:
-
Kupakua na kujisajili kwenye App ya WasafiBet
-
Kuweka dau la kuanzia TSh 2,000
-
Bet iwe na:
-
Angalau chaguo 2 (selections)
-
Odds za jumla 6.0 au zaidi
-
Iwe imewekwa kwenye market ya 1X2 pekee
-
Baada ya bet kukamilika (settled), mtumiaji atapata BONUS ya TSh 2,000 moja kwa moja kwenye akaunti yake.
Kipindi cha Kampeni
Kampeni ya SEREREKA itaendeshwa kuanzia:
1 Aprili 2026 hadi 30 Juni 2026
Masharti Muhimu
-
Ofa hii ni kwa wateja wapya pekee
-
Bet lazima iwe imekamilika (settled)ndani ya kipindi cha kampeni
-
Mtumiaji mmoja anaruhusiwa akaunti moja tu
-
Bet lazima ikidhi vigezo vyote vilivyotajwa hapo juu
Sheria za Bonus
-
Kiasi cha bonus: TSh 2,000
-
Bonus inapaswa kuchezwa mara 3 (3x wagering)kabla ya kutoa ushindi
-
Ni ushindi pekee unaoweza kutolewa, siyo kiasi cha bonus yenyewe
-
Bonus itatumika kulingana na masharti ya WasafiBet






