Home Habari za michezo MERIDIANBET YAENDELEZA HARAKATI ZA KUSAIDIA JAMII

MERIDIANBET YAENDELEZA HARAKATI ZA KUSAIDIA JAMII

0

Ikiwa leo hii ni Ijumaa nzuri kabisa ya mteja wa Meridianbet kutengeneza pesa kwa kubashiri mechi za ligi mbalimbali, wakali hao wa ubashiri waliamua kutembelea taasisi ya The Community Centre for Preventive Medicine iliyopo Tabata Kisukuru, Dar es Salaam, kwa lengo la kuwafariji na kuwasaidia wazee wanaoishi katika kituo hicho.

Meridianbet waliamua kuwasaidia wazee hao kwa kuwapelekea vyakula kama vile mchele, sukari, mafuta ya kupikia sabuni, pamoja na vifaa vya usafi wa mwili kwani usafi katika maeneo hayo ni muhimu sana kutokana na wingi wa watu ambao wanaishia  huko.

Kampuni inalenga kushirikiana na taasisi hiyo katika kuhakikisha wazee hao wanapata mlo kamili ili waweze kupata nguvu lakini pia kuhakikisha wanatumia sabuni kwenye usafi wao binafasi ili wajilinde na magonjwa mbalimbali mbayo yanatokana na uchafu.

Utajiri wako upo kwenye michezo ya Kasino siku ya leo ingia na ucheze Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli  na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz kubashiri mechi zote.

Akizungumza wakati wa makabidhiano, Afisa Mahusiano wa Kampuni hiyo Nancy Ingram alisema kuwa, “Tunatambua mchango mkubwa wa wazee katika jamii yetu, na ni jukumu letu kuhakikisha wanapata faraja na msaada wanapouhitaji. Hii ni sehemu ya dhamira yetu ya kuendelea kusaidia jamii,”

Na pia kwa upande wa Taasisi hiyo huko Tabata Kisukuru  baada ya kupokea vyakula hivyo na vifaa vya usafi walisema kuwa, “Tunafurahi kuona Meridianbet imetambua changamoto yetu ya uhaba vya vyakula na vifaa vya usafi  na kuja na suluhisho.  Msaada huu ni sehemu ya juhudi za kuimarisha huduma za jamii Dar es Salaam na kusaidia makundi maalum kama wazee.”

Kwa msaada huo ambao Meridianbet ilipelekakwa wazee hao, inathibitisha kuwa kampuni hiyo si kwaajili ya michezo tuu bali ni kwaajili ya kuangalia na kutatua changamoto ambazo zinaikabili jamii yetu kwenye sekta mbalimbali ikiwemo na afya pia.

Meridianbet itaendelea siku zote kuwaunga mkono watu wenye uhitaji katika jamii yetu kwani wao na jamii wanategemeana kwa kila kitu. Lakini pia Kampuni hiyo inawashihi watu kutunza mazingira kwa kutokutupa taka hovyo ili kujiepusha na magonjwa mbalimbali.

Leo hii mechi kibao zinaendelea ambapo ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yanapatikana Meridianbet pekee. Ingia na utengeneza jamvi lako la ushindi hapa