WasafiBet imerudisha 10% Cashback Bonus, na safari hii imeboreshwa zaidi ili kumpa mtumiaji control kamili ya mchezo wake. Sasa sio tu unarudishiwa sehemu ya hasara, bali unapewa nafasi halisi ya kuendelea kucheza, kupanga mikeka kwa utulivu, na kutafuta ushindi mkubwa bila presha ya kuanza upya kila unapopoteza.
“Version hii imeangalia tabia za wachezaji wa Tanzania wanaocheza mikeka, wanaopenda odds nzuri, na wanaotaka nafasi ya pili yenye maana. Tumeiboresha cashback isiwe faraja tu, bali iwe njia ya kushinda.” Mrisho Selemani, Head of Product & Operations, WasafiBet
Ni mfumo ulioboreshwa kwa ajili ya:
-
Kupunguza maumivu ya kupoteza mkeka
-
Kukupa nafasi ya kurudi kibabe na mbinu mpya
Kwa kifupi, WasafiBet wameifanya hii cashback iwe mkombozi kwa mikeka inayochanika!
Hata Ukipoteza, Bado Unarudi kwenye Game
Kwenye betting, kushinda na kupoteza ni sehemu ya mchezo. Lakini sasa WasafiBet wameleta game changer ukipoteza, hauanzi upya bila kitu.
-
Weka bet ya kuanzia TZS 2,000
-
Odds ziwe 5+ au zaidi
-
Inahusu pre-match bets tu(single au mkeka)
-
Ukipoteza, unarudishiwa 10% kama bonus
Unaweza kupata hadi TZS 3,000 cashback, tayari kwa kuendelea kupambana.
Jinsi ya Kushiriki – Rahisi Sana
Hii siyo complicated, ni rahisi kama kufungua app tu:
-
Weka deposit ya angalau TZS 2,000
-
Piga bet (single au mkeka) yenye odds 5+
-
Subiri matokeo
-
Ukipoteza, chukua 10% cashback yako
Hii ndio style ya “poteza lakini bado uko ndani ya game”.
Masharti ya Bonus- Cheza Kieleweke
Cashback yako itakuja kama bonus, sio cash ya kutoa moja kwa moja. Hapa ndio mchezo unapoanza:
-
Bonus haitoki moja kwa moja
-
Inatakiwa itumike ndani ya siku 7
-
Maximum bonus: TZS 3,000
-
Unaweza kuitumia hadi mara 1 tu
Hapa ni wewe na strategy yako ukicheza smart, unageuza loss kuwa win.
Tumia Bonus na Piga Mkeka wa Maana
Ili kutumia bonus yako vizuri:
-
Cheza mkeka wa mechi 6 au zaidi
-
Kila game iwe na odds 1.8+
-
Pre-match tu (hakuna live)
Lakini kumbuka:
-
Kuna 3x wagering kabla ya kutoa hela
-
Unatakiwa kutumia hela halisi (deposit) kukamilisha wagering
-
Stake ya bonus haihesabiwi kwenye ushindi






