Home Habari za michezo VITA YA KUWANIA MICHUANO YA ULAYA YAHAMIA LALIGA

VITA YA KUWANIA MICHUANO YA ULAYA YAHAMIA LALIGA

0

Leo tarehe 26 Aprili saa 22:00 usiku, uwanja wa La Cerámica huko Vila-real utakuwa jukwaa la pambano la kusisimua kati ya Villarreal na Celta Vigo.

Villarreal wakiwa nyumbani wanalenga kukaribia eneo la kuwania Kombe la Uefa champions league, huku Celta Vigo wakiwa ugenini wakijaribu kupambania nafasi ya kushuiriki Europa league msimu ujao.

Mchezo huu una umuhimu mkubwa kwa timu zote mbili, kwani Villarreal wanahitaji pointi kushika wimbi la ushindi, na Celta wanazihitaji kuepuka kuingia kwenye mwamba wa hatari.

Villarreal chini ya kocha Marcelino wamekuwa na timu imara kumiliki mpira na kushambulia kwa wingi msimu huu. Wakiwa na wachezaji kama Gerard Moreno, Álex Baena, na Dani Parejo wenye uwezo mkubwa kwenye eneo la kati ya kiwanja,

Kwa upande mwingine, Celta Vigo ya Claudio Giráldez ni timu changa lakini yenye kasi na ubunifu. Wakiwa na wachezaji kama Iago Aspas, mtu anayeweza kubadilisha mchezo wakati wowote, na wengine kama Jørgen Strand Larsen mbele, anategemea mashambulizi ya moja kwa moja na kutumia makali ya pembeni..

 

Ingia kwenye kasi ya kujishindia pesa kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Mchezo huu unatazamwa kwa hali ya juu kutokana na ubora wa hivi karibuni wa vilabu hivi ambapo villareal anashika nafasi ya 3 akiwa napoint 61 nyuma ya Real madrid lakini kwa upande wa Celta vigo wao wapo nafasi 6 wakiwa na alama 44 amba yeye anapigania kuweza kushuriki michuano ya ulaya. Jisajili