“Kuna wale ambao watakuwa nje kwa muda mrefu zaidi kama Job, Mzize na Khomein, hawa bado sana tutaendelea kuwakosa kutokana na wanaendelea kuimarika taratibu,” amesema.
Yanga na Simba baada ya mechi hiyo, timu hizo zitakutana tena Mei 3 mwaka huu katika Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, Dar es Salaam.