NI NICE AU SAINT-ETIENNE KUCHEZA LIGI KUU 2026\27
Kadri muda unavyozidi kwenda ndipo joto linavyozid kupanda kwa timu za Nice na Saint-Etienne kwani wote wawili wanahitaji nafasi ya kushiriki ligi kuu kule Ufaransa. Je nani unampa nafasi za kushinda leo?
Hatimaye ule usiku wa maamuzi makali umefika nchini Ufaransa ambapo OGC Nice na AS Saint-Étienne wanatarajiwa kupigana vikali katika mchezo wa marudiano wa play-off kuwania nafasi ya kucheza Ligue 1 msimu ujao baada ya mchezo wa kwanza kumalizika kwa sare tasa ya 0-0.
Kwa Nice, hii ni nafasi ya kuthibitisha ubora wao mbele ya mashabiki wa nyumbani kwani wanaingia katika mchezo huu wakijua kuwa ushindi pekee ndiyo njia ya kuhakikisha ndoto zao za Ligue 1 zinaendelea kuishi. Jsajili na ubeti na Meridianbet.
Huku kwa upande wa Saint-Étienne, huu ni mchezo wa kurejesha heshima ya klabu yenye historia kubwa ndani ya soka la Ufaransa. Mashabiki wao bado wanaamini timu yao inastahili kucheza Ligue 1, na wachezaji wanajua kuwa dakika hizi 90 zinaweza kubadilisha kila kitu. Suluhu ya mchezo wa kwanza imewaongezea kujiamini kwani wameonyesha uwezo wa kuhimili presha, lakini sasa wanahitaji kuwa makini zaidi ili kutumia nafasi yoyote watakayopata.
Piga pesa leo kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Kwenye mechi hii ya marejeano hakuna anayehitaji kufanya kosa, hakuna anayetaka kuondoka mikono mitupu. Katika mechi za aina hii, mara nyingi shujaa mmoja anaweza kubadilisha historia ya timu yake kwa bao moja tu. Presha itakuwa kubwa kuanzia benchi la ufundi hadi kwa mashabiki waliopo jukwaani. Bashiri mechi hii hapa.
Lakini pia kwa upande wa mashabiki wa pande zote mbili wanajiandaa kushuhudia vita ya kweli ya kisoka. Nice watategemea nguvu ya uwanja wao wa nyumbani, huku Saint-Étienne wakitaka kutumia uzoefu na morali yao kupambana hadi dakika ya mwisho.
Ikumbukwe kuwa wa mpira wa miguu ni dakika 90 hivyo lolote linaweza kutokea na yoyote yule anaweza akashinda. Mchezo wa mwanza uliisha bila kuwa na mbabe na huu wa pili kila timu itaingia kwaajili ya ushindi pekee. Huku Nice kule Saint-Etienne. Je nani kucheza ligue 1?. Bashiri mechi hii sasa.