Zaidi ya Mamilioni Yapo Kwaajili Yako
Je unajua kuwa leo huenda ikawa ni siku yako ya bahati?. Kama hujajua basi mimi ndio nakujuza, ingia kwenye akaunti yako na uweke dau lako dogo tuu kisha ubashiri mechi za leo.
Tukianza na Uholanzi Ligi kuu (Eredivisie) inaanza kwa mechi ambayo inawapa mabingwa watetezi PSV Eindhoven nafasi za kuanza kutetea taji lao kwa kukipiga dhidi ya Fortuna Sittard ambao wanahitaji kuanza msimu kwa ushindi siku ya leo.
Mabingwa hawa wa ligi mara 3 mfululizo, wana kila sababu ya kujiamini. Mbali na kucheza mbele ya mashabiki wao, wana kikosi chenye ubora mkubwa katika kila idara ya uwanja. Wanapokuwa nyumbani, mara nyingi huwalazimisha wapinzani wao kucheza kwa kujilinda kwa muda mrefu, jambo ambalo huwapa nafasi ya kufunga mabao mapema na kuutawala mchezo. Jisajili hapa.
Huku Fortuna Sittard wao wanaingia kwenye mchezo huu wakijua wazi ukubwa wa kazi iliyo mbele yao. Kipaumbele chao kitakuwa kujilinda kwa nidhamu, kupunguza nafasi za PSV na kutegemea mashambulizi ya kushtukiza.
Nafasi ya kuondoka na ushindi pale Meridianbet wamepewa wenyeji wa mchezo huku mechi hii ikiwa na machaguo zaidi ya 1000 leo. Hivyo ingia na ubashiri siku ya leo.
Zaidi ya Mamilioni yanakungoja kupitia michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Na kule Uingereza michuano ya EFL itaendelea ambapo West Ham United watawakaribisha Portsmouth katika Uwanja wa London Stadium, mechi ambayo inatarajiwa kuwa ya ushindani mkubwa licha ya tofauti ya hadhi kati ya timu hizi.
Wagonga Nyundo hao wa London, ambao sasa wanashiriki Championship baada ya kushuka daraja kutoka EPL msimu uliopita watashiriki michuano hii ya Carabao Cup kama nafasi ya kurejesha morali ya kikosi na kujenga mwendelezo mzuri kabla ya ratiba ngumu ya ligi.
Huku Portsmouth wao wanaingia kwenye mchezo huu wakiwa na hamasa ya kuonyesha kuwa wanaweza kushindana na timu zozote na zenye uwezo mkubwa pia kwenye mashindano haya.
Pamoja na kushuka daraja, kikosi cha West Ham bado kina wachezaji wenye uzoefu mkubwa hivyo mechi hii inaweza kuwa ngumu pia kutokana na falsafa ambazo timu hizi mbili huzitumia. Lakini pia timu hiyo inaweza ikacheza kwa kujilinda zaidi na kushambulia kwa zamu.
Hata hivyo, Portsmouth si timu ya kubezwa, wamekuwa wakionyesha nidhamu nzuri ya kiuchezaji na mara nyingi hupambana kwa moyo mkubwa wanapokutana na timu zinazobebwa na makaratasi. Je nani unampa nafasi ya kushinda leo?. Bashiri hapa.