Mchezo wa Cheetah Wild Meridianbet: Shinda Hadi Mara 5,000 ya Dau Lako!
Kuna safari mpya imewasili kwenye kasino ya Meridianbet, na safari hii inakupeleka moja kwa moja porini. Cheetah Wild, kutoka Pragmatic Play, inakupa nafasi ya kufurahia mizunguko bomba yenye mandhari ya wanyama pori, mizunguko ya bure na alama za pesa zinazokupa ushindi. Kila hatua inaleta kitu kipya cha kufuatilia.
Ukitaka kufungua mizunguko ya bure, macho yawe kwenye alama maalumu za Scatter. Ukipata tatu, unapata mizunguko ya bure 8. Ukipata nne, unapata 15, na ukipata tano, unapata mizunguko ya bure 20. Hapo ndipo safari inaanza kuwa tamu zaidi.
Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Mizunguko ya bure ina kipengele maalumu cha Level Up ambacho kinakupa nafasi ya kupanda hatua kadiri unavyokusanya alama za LEVEL UP. Kutoka Level 1 hadi Level 5, kila hatua ina mabadiliko yake. Tembo, Kifaru, Pundamilia na Swala wanaweza kubadilika kuwa alama za pesa kadiri unavyozidi kupanda Levels.
Pia kuna Ante Bet na Buy Feature kwa wale wanaotaka kuongeza msisimko wa safari yao. Na kwa Cheetah Wild, safari inaweza kufikia hadi kiwango cha juu cha malipo cha mara mara 5,000 ya dau lako. Hii inafanya kila mzunguko kuwa sehemu ya safari ya kufuatilia.
Usiache pori likupite wakati ni fursa ya kipekee kwako. Cheetah Wild inapatikana Meridianbet, tayari kukupa burudani mpya ya kasino. Ingia Meridianbet, zungusha reels na uone safari yako itafika hatua gani.