Ndoano Ya Big Bass Halloween Splash 1000 Imetupwa Kusaka Ushindi
Kama unapenda michezo yenye msisimko na sapraizi, basi Halloween hii kuna safari mpya ya kujaribu. Big Bass Halloween Splash 1000 kutoka Pragmatic Play imefika Meridianbet, ikiwa imebeba mchanganyiko wa uvuvi, mizunguko ya bure, na pesa. Kila mzunguko unaweza kuwa mwanzo wa tukio kubwa zaidi.
Katika mchezo wa kawaida, macho yanakuwa kwenye Scatter. Ukipata Scatter 3 hadi 5, bonasi inaweza kufunguka na kukupa mizunguko ya bure 10 hadi 20. Kabla ya kuingia kwenye mizunguko ya bure, picha ya uvuvi inaweza kufungua hadi vichocheo vitano, ambavyo vinaweza kuongeza alama ya pesa, alama maalum na mizunguko ya bure, au kukupeleka moja kwa moja kwenye Level Two.
Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Ukiingia kwenye bonasi, sasa ni wakati wa kufuatilia Wild. Wild inapopatikana, hukusanya alama za pesa zote kwenye mchezo. Na hapa kuna jambo kubwa zaidi, pesa hizo zinaweza kufikia thamani ya hadi mara 1,000. Kwa hiyo, kila Wild inapojitokeza, inaweza kuleta wakati wa kusubiri kwa hamu.
Kisha kuna hatua nyingine inayoweza kuongeza joto. Kila Wild ya nne inaweza kuanzisha tena bonasi kwa mizunguko ya bure 10 ya ziada. Bonasi ya kwanza ina vizidishi mara 2, ya pili mara 3, huku ya tatu na ya mwisho ikifika hadi mara 10.
Halloween hii, safari ya uvuvi imepewa sura mpya kabisa na Meridianbet. Ingia kwenye Big Bass Halloween Splash 1000, tupa ndoana na fuatilia kila Wild inayotua. Ziwa limejaa vituko, lakini samaki mkubwa anaweza kuwa anasubiri wewe.