Home Authors Posts by Abubakar

Abubakar

1083 POSTS 0 COMMENTS

BEKI WA SIMBA, YANGA AFARIKI DUNIA…

0
HABARI zilizotufikia hivi punde ni kwamba beki wa zamani Tukuyu Stars, Simba na Yanga, Seleman Mathew amefariki dunia asubuhi ya leo katika Hospitali ya...

YANGA KUFANYA UMAFIA…JEAN BALEKE AFICHWA HOTELINI

0
MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga wana jambo lao kubwa Juni 9 2024 ambapo ni Mkutano Mkuu wa Wanachama, (Annual General Meeting-AGM). Lakini...

SILAHA YA AZIZ KI NI HAPA…KILA KITU KITAJULIKANA

0
KIUNGO Mshambuliaji wa Yanga na Mfungaji bora wa Ligi kuu ya NBC AZIZ Ki unaambiwa ujanja wake ndani ya uwanja ni mguu wa kushoto,...

METACHA ASEPA YANGA…IHEFU WAHUSIKA NA SHOW

0
METACHA MNATA Deal Done!! Unaweza kusema hivyo Yes! Uongozi wa Singida Black Star zamani (Ihefu) imekamilisha usajili wa nyanda hili la Yanga a timu...

TATIZO LA SIMBA NI MO DEWJI…HATAKI WAWEKEZAJI WENGINE

0
WAKATI watu wengi wanajiuliza tatizo la Simba ni nini? Jibu ni jepesi sana, tatizo kubwa la Simba ni Mo Dewji Lengo kubwa la huyu...

KIMENUKA…VIONGOZI WA MATAWI SIMBA WAITANA…KIKAO KIZITO KUFANYIKA LEO

0
SIKU chache tangu Uongozi wa Simba kutangaza mabadiliko makubwa, huku baadhi ya Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Lunyasi wakiachia ngazi, viongozi wa matawi...

INJINIA HERSI AVUNJA UKIMYA YANGA…USAJILI UKO HIVI…

0
UONGOZI wa Yanga chini ya Injinia Hersi Said umedhamiria kufanya mabalaa kwenye usajili wa dirisha hili linalokaribia ufungulia wiki ijayo June 15, ambapo majina...

KANUNI ILIYOWAONDOA TRY AGAIN NA WENZAKE SIMBA…MO DEWJI HAJAVUNJA SHERIA

0
PAMOJA na habari zote kusambaa kuhusu kujiuzulu kwa Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba SC, swali ambalo wengi wamekuwa wakijiuliza ni uhalali wa...

SABABU ZILIZOMFANYA MO DEWJI KUTIMUA WAJUMBE SIMBA

0
Ni takribani siku ya tatu sasa kuna mambo kibao yanaendelea ndani ya Simba. Tajiri Mohamed Dewji ‘MO’ ameingia msituni mwenyewe kufanya mawindo ya wachezaji...

DANI CADENA: UONGOZI SIMBA, MANULA & ROBERTINHO…WALIHUSIKA KIPIGO CHA 5G SIMBA...

0
KOCHA wa Makipa wa Simba Dani Cadena ametoa ushauri kwa Viongozi wa klabu hiyo. kwamba ili timu hiyo ibadilike inapaswa kuajiri watu wenye uzoefu,...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS