Home Authors Posts by Abubakar

Abubakar

1085 POSTS 0 COMMENTS

PRINCE DUBE AWAOMBA MSAMAHA…YANGA IKIVUNJA UTEJA WAO KWA WAHABESHI

0
BAO moja lililofungwa na Prince Dube dakika 45 kipindi cha kwanza dhidi ya CBE SA ya Ethiopia lilitosha kuitanguliza Yanga mguu mmoja mbele katika...

KUHUSU INSHU YA KAGOMA YANGA ILIKOSEA HAPA

0
Hakuna Ubishi kwamba Yusuph Kagoma alikua na mkataba na timu yake ya Singida Fountain Gate. Hivyo ilibidi ufanyike uhamisho kwa kumnunua kwenda timu nyingine...

FEI TOTO AMTISHA KIPA WA SIMBA

0
Kipa wa Simba, Moussa Camara ‘Spider’ alikuwa katika benchi wakati taifa lake la Guinea likiachia pointi tatu mbele ya Taifa Stars, lakini akaondoka na...

SI BONGO TU…DUBE, PACOME WAMTISHA KOCHA CBE

0
Wakati Yanga ipo tayari katika ardhi ya Ethiopia kwa mechi ya mkondo wa kwanza ya raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika, kocha...

KUMBE JEURI YA SIMBA IKO HAPA

0
Wachezaji wa Simba wanafahamu hesabu zilizopo kwao hivi sasa ni kuanza vizuri ugenini dhidi ya Al Ahli Tripoli ya Libya kisha kumaliza kazi nyumbani...

FADLU NA GAMONDI MBINU ZAO ZIKO HIVI

0
Makocha wa Yanga na Simba, Miguel Gamondi na Fadlu Davids, pamoja na mabenchi yao ya ufundi, wanajipanga kwa umakini mkubwa kuhakikisha wanatimiza matarajio ya...

COASTAL WAMKATAA MGUNDA KWEUPE…SABR AELEZA

0
WAGOSI wa Kaya Coastal Union imekana kutaka kumrudisha kocha wake wa zamani, Juma Mgunda ili kukinoa kikosi hicho. Afisa Habari wa Klabu hiyo, Abbas El...

WACHEZAJI SIMBA WAAHIDI USHINDI MECHI NA AL AHLI

0
WAKATI kikosi cha Simba kikiwasili jana jijini Tripoli Libya kwa ajili ya mchezo wa raundi ya kwanza ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya...

PRIVADINHO AJIFUNGA MABOMU SAKATA LA KAGOMA YANGA

0
"Nimemsikiliza vyema mwanasheria wa Fountain Gate. Kimsingi nimependa sana jamaa amechagua kuwa mwaminifu." "Kimsingi amethibitisha kuwa mkataba baina ya Yanga na Fountain Gate upo tofauti...

SIMBA YAKIRI UGUMU WA AL AHLI…WAJIPANGA KUPAMBANA

0
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa wapinzani wao kwenye Kombe la Shirikisho Afrika sio wanyonge hivyo watawakabili kwa tahadhari kupata matokeo chanya kwenye mchezo...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS