YANGA YATUA KWA MAKUNDI ETHIOPIA…WAHABESHI WAINGIA UBARIDI
Yanga itatua nchini Ethiopia kwa makundi tofauti ambapo hapa unavyosoma Mwanaspoti kundi la wachezaji waliokuwa nchini Ivory Coast na kikosi cha Taifa Stars limeshatua nchini…
Yanga itatua nchini Ethiopia kwa makundi tofauti ambapo hapa unavyosoma Mwanaspoti kundi la wachezaji waliokuwa nchini Ivory Coast na kikosi cha Taifa Stars limeshatua nchini…
KIKOSI cha Yanga kwa kundi la pili limepaa leo kuifuata CBE SA ya Ethiopia kwa ajili ya mchezo wa mkondo wa kwanza wa raundi ya…
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally, amesema mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Al Ahli Tripoli ya Libya, itakayochezwa ugenini…
KUHUSU ubora wa mshambuliaji wa Yanga na timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Clement Mzize umekuwa na dosari kwa upande wa mchambuzi wa michezo…
Baada ya Feisal Salum ‘Fei Toto‘ kufanikiwa kufunga bao zuri kwa Taifa Stars la kusawazisha dhidi ya Guinea bao hilo limemuibua Mheshimiwa Waziri wa Fedha…
Kuna kipindi Rais wa awamu ya tano, JPM wa Chato aliwahi kusema kama vipi tuwape Askari wacheze timu ya taifa, ile haikuwa kwa bahati mbaya…
Mohammed Hussein kwa sasa ndie Beki bora zaidi wa kushoto Tanzania imepata kuwa nae kwa miaka 20 iliyopita kwenye soka letu, bila shaka anaweza kuingia…
Licha ya kikosi chake kuonyesha ubora mkubwa katika mechi za mwanzo msimu huu, Kocha Mkuu wa Yanga SC Miguel Gamondi amesema haimaanishi kama wako salama…
KIUNGO wa Yanga na Timuya Taifa ya Tanzania Taifa Stars Mudathir Yahya ametema nyongo kwa wale wanaoibeza timu ya taifa pamoja na wachezaji wake. Mudathir…
Wachezaji wa Yanga Mudathir Yahya, Bacca, Job, Mwamnyeto, Nickson Kibabage, na Clement Mzize wameondoka saa tisa alfajiri Ivory Coast ambayo ni sawa na saa kumi…