HABARI ZA YANGA
Habari za Yanga Leo

MUDATHIR ATEMA NYONGO WANAOPONDA WACHEZAJI WAZAWA

Abubakar September 11, 2024 10:50 am

KIUNGO wa Yanga na Timuya Taifa ya Tanzania Taifa Stars Mudathir Yahya ametema nyongo kwa wale wanaoibeza timu ya taifa pamoja na wachezaji wake.

Mudathir aliyefunga bao la ushindi dhidi  ya Guinea na  kuipatia Stars pointi 3 muhimu, alisema kwamba wachezaji wadogo wanaumia na maneno ya Watanzania wanaoibeza timu ya taifa.

“Watanzania wenzetu wanatubeza ila tunashukuru mungu, hatumii bali ndio wanatupa motisha wao wanahisi maneno yao yanatuangusha, wachezaji wadogo wanaumia ila sisi tuliocheza muda mrefu hayatuangushi bali wanatupa nguvu, sisi tunawashukuru kwa maneno yao.”- Mudathir Yahaya

TAARIFA MPYA KUHUSU SIMBA NA YANGA…MUDA HUU GAMONDI AWAONYA MASTAA WAKE…WASIJISAHAU

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

One response to “MUDATHIR ATEMA NYONGO WANAOPONDA WACHEZAJI WAZAWA”

  1. […] zilizozaa mabao mawili kati ya sita yaliyofungwa na Yanga Jumamosi iliyopita, kiungo wa timu hiyo, Mudathir Yahya ameonekana kuridhishwa na rekodi anazoendelea kuziweka kikosini […]