HABARI ZA YANGA-BACCA
Habari za Yanga Leo

ASKARI BACCA ATEMBEZA VIRUNGU TAIFA STARS…MAGUFULI ALISEMA…

Abubakar September 11, 2024 3:15 pm

Kuna kipindi Rais wa awamu ya tano, JPM wa Chato aliwahi kusema kama vipi tuwape Askari wacheze timu ya taifa, ile haikuwa kwa bahati mbaya haswa ukimtazama Askari kama Ibrahim Bacca anavyojitoa linapokuja suala la timu yake haswa National Team.

Askari unapompigia wimbo wa taifa unampa deni kubwa sana, unamvuruga sana na anachojua ni eidha afe yeye bendera ibaki na heshima ama heshima ilindwe nae awe salama, nawaza sana point ya uzalendo ina maana kubwa sana haswa ile MUJIBU WA SHERIA ikikomaliwa ipasavyo tunaweza kuwa na kizazi chenye uchungu sana

Askari huwa havai kitambaa ila akiona mambo hayapo sawa yeye ndio wa kwanza kumfata Refa, anaona Raia wake wa kawaida wanaonea na yeye kala kiapo cha bendera

NANI KAMA MOHAMMED HUSSEIN…MIAKA 15 KWENYE UBORA ULE ULE FEI TOTO ATAKIWA AENDE SIMBA…WAZIRI WA FEDHA AMSHAURI.

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

One response to “ASKARI BACCA ATEMBEZA VIRUNGU TAIFA STARS…MAGUFULI ALISEMA…”

  1. […] wa Azam FC Fuentes Mendosa ameshindwa kujizuia na kukiri kuwa Ibrahim Hamad ‘Bacca’ anayekipiga Yanga alistahili kuwa beki bora wa msimu uliopita kutokana na aina ya uchezaji wake […]