Home Authors Posts by Abubakar

Abubakar

1083 POSTS 0 COMMENTS

MASHAKA AMTAJA BOCCO…AHUSIKA NA USAJILI WAKE SIMBA

0
Kuna vitu vimeanza kubadilika katika maisha ya mshambuliaji wa Simba, Valentino Mashaka tofauti na msimu uliopita alipokuwa anaishi akiwa Geita Gold. Mashaka anasema tangu ajiunge...

SIMBA YAAMBULIA SARE NA AL HILAL…IBENGE AWAPA SOMO

0
MCHEZO WA KIRAFIKI,  kati ya Simba SC na Al Hilal imemalizika kwa timu zote kutoshana nguvu ya bao 1-1. Simba ilitangulia kufunga goli  kupitia kwa...

MANULA AMUULIZA MASWALI MAZITO SPIDER MAN CAMARA

0
MLINDA Mlango wa Simba Aishi Salim Manula yupo kwenye kiwango bora kwenye mchezo huu dhidi ya Al Hilal na amekuwa na utulivu pale timu...

LEONEL ATEBA AANZA KUWATESA MAKIPA…MANULA BADO YUMO AISEEH

0
WENGI Walikuwa wanasubiri kumuona mshambuliaji mpya wa Simba Christian Leonel Ateba aliyesajiliwa dakika za jioni kabisa, kabla ya dirisha kubwa la usajili kufungwa. Katika dimba...

MOROCCO…STARS IPO KAMILI KUIVAA ETHIOPIA

0
KAIMU Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', Hemed Suleimani 'Morocco' amesema, kikosi hicho kiko kamili kwa ajili ya michezo miwili...

GAMONDI…HATUKUCHEZA VIZURI…LAZIMA WACHEZAJI KUTUMIA KILA NAFASI

0
LICHA ya kuanza vyema kutetea ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa kuvuna pointi tatu muhimu dhidi ya wenyeji Kagera Sugar, Kocha Mkuu wa...

FADLU DAVIDS HATAKI KULALA…AMTAKA ATEBA KUFANYA JAMBO LEO

0
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye kombe la Shirikisho Afrika klabu ya Simba inaikaribisha klabu ya Al Hilal ya Sudan katika mechi ya kirafiki ya kimataifa...

MKASA MZIMA HADI KIBAOKO YA YANGA NA SIMBA…ALIVYOFUKUZWA

0
Baada ya majadiliano makali kwenye kikao cha dharura, bodi ya Azam FC imefikia maamuzi ya kuliondoa benchi lote la ufundi chini ya kocha Yousouph...

WANASIMBA NJOONI MUONE SHOW YA KIBABE…AHMED ALLY AWAITA WANAMSIMBAZI

0
AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba ameweka wazi kuwa Wanasimba wasikubali kukaa nyumbani Agosti 31 2024 timu hiyo itakapokuwa ikicheza...

HAIKUWA RAHISI YANGA KUPATA ALAMA TATU KAGERA.

0
KLABU ya Yanga imeweka wazi kuwa haikuwa rahisi kuvuna pointi tatu muhimu mbele ya Kagera Sugar kwenye mchezo wa kwanza ndani ya msimu wa...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS