Home Authors Posts by Abubakar

Abubakar

1083 POSTS 0 COMMENTS

NYOTA WA SIMBA ANUKIA CYPRUS…PAOK HAPAELEWEKI

0
Mabosi wa Omonia Nicosia ya Cyprus wameripotiwa kuvalia njuga dili la kumnasa nahodha wa Taifa Stars na nyota wa zamani wa Simba, Mazembe, KRC...

FREDDY MICHAEL ATUPA DONGO SIMBA.

0
SAA chache baada ya kutemwa na Simba, mshambuliaji Freddy Michael amevunja ukimya na kufunguka akisema alichofanyiwa imekuwa ni kama sapraizi kwani alikuwa amejipanga kufanya...

MZIZE ASAINI MIWILI YANGA…KAMWE AFICHUA

0
Afisa Habari wa Klabu ya Yanga SC, Ally Kamwe amesema Klabu hiyo imemuongezea mkataba mchezaji wao, Clement Mzize wa kuendelea kusalia klabuni hapo kwa...

TUWE NA AKIBA YA MANENO…MUKWALA ANA BALAA

0
Huko mitaani kwa sasa usajili unaojadiliwa sana vijiweni ni ule wa straika mpya wa Simba, Steven Mukwala aliyetua hivi karibuni akitokea, Asante Kotoko ya...

SIMBA KUCHEZA NA AL AHLI HATUA YA PILI

0
NI RASMI Simba Sc itachuana na Al Ahli Tripoli kwenye hatua ya kwanza ya kombe la Shirikisho Afrika baada ya miamba hiyo ya Libya...

RAIS SAMIA ATANGAZA NEEMA KWA SIMBA NA YANGA

0
RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema amefanya mazungumzo na wadau na wawekezaji wakubwa hapa nchini kwa ajili ya kuzidhamini klabu za Simba na Yanga ili...

KISA GSM YANGA BODI YA LIGI KUSIKILIZA MALALAMIKO YA UDHAMINI

0
BODI ya Ligi imesema kuwa inakaribisha maoni ya wadau wote ambao wanaona hakuna haja ya mtu, kampuni au taasisi kudhamini zaidi ya timu moja...

YANGA KUSAJILI WAWILI…KISA ROBO FAINALI CAF

0
Rais wa klabu ya Yanga Injinia Hersi Said, amesema wanatarajia kusajili nyota wapya wawili katika dirisha dogo la usajili litakapofunguliwa baadaye mwaka huu. Hersi alisema...

KOCHA VITAL’O AKATA TAMAA VS YANGA

0
Kocha wa klabu ya Vital’O FC, Sahabo Parris amebainisha kuwa ni vigumu kuifunga Yanga SC mabao matano katika mchezo wa marudiano wa klabu bingwa...

MECHI YA SIMBA VS FOUNTAIN GATES IPO PALE PALE

0
Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (Fifa) limeiondolea adhabu ya kutosajili timu ya Fountain Gate baada ya kupata uthibitisho kuwa imelipa fidia ya mchezaji...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS