Home Authors Posts by Abubakar

Abubakar

1083 POSTS 0 COMMENTS

SIMBA KUMPELEKA KAMATI YA NIDHAMU MNUNKA

0
MRATIBU wa Simba Queens, Selemani Makanya amesema viongozi wa timu hiyo iliyopo Ethiopia kushiriki fainali za michuano ya Klabu Bingwa kwa Afrika Mashariki na...

YANGA HII UNAIFUNGAJEE…NJIA NYEUPE HATUA INAYOFUATA

0
YANGA imeendelea kuwapa raha mashabiki wake baada ya kuanza vyema michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa ushindi mabao 4-0 dhidi ya Vital'O ya...

DUBE AWEKA REKODI CAF…CHAMA GARI LIMEWAKA…YANGA NI 4G

0
KLABU ya Yanga imeshinda goli 0-4 dhidi ya Vital'O kwenye mchezo wa raundi ya kwanza, wachezaji waliofana vizuri zaidi ni Prince Dube na Clatous...

CHIMBO LIMEITIKA…KASINO NI HABARI YA MJINI

0
Safiria ndoto ya maisha yako kwa kucheza kasino ya mtandaoni, pale Meridianbet kuna promosheni ya Expanse ambayo inatoa mamilioni kwa washindi. Jisajili sasa upate...

KOCHA VITAL’O AIONYA YANGA LEO

0
Kocha Mkuu wa Vitalo FC Sahabo Parris amesema klabu yake imejiandaa vilivyo kupambana na Yanga SC katika Mashindano ya Klabu Bingwa Afrika. Katika mkutano na...

AHMED ALLY AFUNGUKA MBILINGE USAJILI WA ATEBA

0
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally, aliuzungumzia usajili wa Leonel Ateba ulivyokuwa, huku akisema walikuwa na machaguo mengi lakini kura ya...

BIASHARA YA AWESU ILIKUWA NA FAIDA…ONANA AIPA MAMILION SIMBA

0
WAKATI mabosi wa Simba wakisema wamefanya biashara nzuri kwa kumuuza kiungo mshambuliaji wake, Andre Willy Esomba Onana, rasmi kiungo Awesu Awesu ni mali ya...

ATEBA AANZA KAZI SIMBA…AWAITA MASHABIKI KESHO

0
MARA Baada tu ya kutambulishwa, straika, Christian Leonel Ateba, kutoka USM Alger ya Algeria, amewataka wanachama na mashabiki wa Simba kujitokeza kwa wingi kushuhudia...

YANGA KIBARUANI LEO KUUSAKA UBINGWA WA AFRIKA

0
MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga, wanatarajia kukutana na Vital'O kutoka Burundi katika mechi ya kwanza ya mashindano ya kimataifa ya Ligi ya...

SIMBA NA YANGA KUOGA MAMILIONI YA CAF

0
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (Caf) limetangaza kutoa kiasi cha Dola 50,000 kwa kila timu inayoshiriki Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS