Home Authors Posts by Abubakar

Abubakar

1085 POSTS 0 COMMENTS

MUDATHIR AANZA KUPIGA SIMU…NYIE HAMUOGOPI?

0
MZEE WA KUPIGA SIMU MUDATHIR Yahya kiungo wa Yanga ubora wake ni ule ule unaendelea msimu wa 2024/25 kwa mujibu wa Maulid Kitenge ameweka...

HIVI NDIVYO AZIZ KI ALIVYONOGESHA…KILELE CHA WIKI YA WANANCHI.

0
MCHEZO wa kirafiki kati ya Yanga na Red Arrows ya Zambia, ulimalizika kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar Es Salaam kwa wenyeji kushinda...

SASA IMEISHAA…SIMBA NA YANGA WAANZA KUTAMBIANA KUELEKEA AGOSTI 8.

0
UKISIKIA funga kazi, basi ilikuwa jana wakati Yanga ilipohitimisha Kilele cha Wiki ya Mwananchi, saa 24 tu tangu Simba kufanya tamasha la Simba Day...

ORODHA YA WASANII WALIOHAMA SIMBA NA YANGA

0
WAPO wanaosema ni kabila tu mtu ndio hawezi kuhama, lakini imani ya dini watu wanahama. Wapo wanaohama vyama vya kisiasa na hata kwa ishu...

MANARA AMSILIMISHA HAMISA MOBETTO…AHAMIA YANGA

0
MSEMAJI wa Klabu ya Yanga, Haji Manara 'Bugatti' amesema amemsilimisha rasmi Mwanamitindo maarufu nchini, Hamisa Mobetto kuwa shabiki wa timu hiyo ya Jangwani kutoka...

CHAMA AIBUA HISIA TOFAUTI YANGA…UTAMBULIHO WAKE NI BALAA.

0
UTAMBULISHO wa mchezaji mpya wa Yanga, Clatous Chota Chama, umeibua shangwe la mashabiki wa timu hiyo kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa. Chama amejiunga na Yanga...

YANGA YAMPA MITATU DIARRA…NYIE HAMUOGOPI?

0
MLINDA Mlango wa Yanga, Djigui Diarra amesaini mkataba mpya wa miaka mitatu wa kuendelea kukitumikia kikosi hicho hadi mwaka 2027. Hatua hiyo imejiri katika utambulisho...

MANULA, ONANA, LAWI WAKOSEKANA SIMBA…CHAMA LAO LIKO HIVI

0
SIMBA imetambulisha kikosi cha wa wachezaji 30 kwa ajili ya msimu 2024/25 huku majina ya Lameck Lawi na Israel Mwenda yakikosekana. Simba walimtambulisha Lawi kama...

MASHABIKI YA YANGA…NYIE HAMUOGOPI KWA YANGA HII.

0
KILELE cha Wiki ya Mwananchi (Yanga Day) kinahitimishwa leo Agosti 4, katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam kwa klabu hiyo kutambulisha...

FREDY FUNGA FUNGA ATABAIRIWA MAKUBWA SIMBA

0
MSHAMBULIAJI wa Simba, Fredy Michael ametabiriwa kuwa mfungaji bora wa Ligi Kuu Bara msimu ujao, huku Kibu Denis akisamehewa na wana Msimbazi baada ya...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS