Home Authors Posts by Abubakar

Abubakar

1085 POSTS 0 COMMENTS

MANARA: MAMA YANGU SABABU YA MIMI KUTUMIKIA ADHABU

0
Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara amesema kuwa familia yake ilimzuia kukata rufaa kwenye Mahakama ya Usuluhishi wa Masuala ya Michezo (CAS) baada...

PATRICK RWEYAMAMU ARUDI NDANI YA SIMBA

0
Klabu ya Simba imemrejesha kikosini Patrick Rweyemamu kuendelea na majukumu yake ya kuwa meneja wa timu hiyo. Rweyemamu amerejeshwa katika majukumu hayo baada ya msimu...

HAJI MANARA ARUDI YANGA NA KAULI YA KUMKATAA ALI KAMWE.

0
Haji Manara akizungumza na wanahabari Serena Hotel, jijini Dar es Salaam amesema adhabu yake ya kufungiwa kujihusisha na soka kwa kipindi cha miaka miwili...

MNYAMA KUZINDUA SIMBA DAY MIKUMI…KUTUMIA SGR…MAMBO YOTE NI MWAKE

0
UKISEMA Tamasha la Simba Day limeanza kuitetemesha Nchi utakuwa sahihi baada ya Wanachama, Wapenzi na Mashabiki wa Simba kutoka kona mbalimbali nchini kujiweka tayari...

AZIZ KI ASHINDWA KUJIZUIA KISA CHAMA, DUBE NA BALEKE

0
MFUNGAJI BORA wa Ligi Kuu ya NBC Stephen Aziz Ki alisema kuongezwa kwa Clatous Chama, Prince Dube na Jean Baleke ni kama kutamrahisishia kazi...

ALOO SIMBA NA YANGA NDANI NTITI NJE NTITI…VIKOSI VYOTE VYA MOTO

0
Simba na Yanga ni timu zilizokamilisha usajili wa idadi ya nyota 12 wa kigeni, Wekundu wakinasa mastaa saba wapya wanaoungana na watano waliosalia kutoka...

MSIKIE PACOME ZOUZOUA KUHUSU USAJILI WA YANGA.

0
KIUNGO wa Yanga, Pacome Zouzoua amezungumza usajili mpya wa kikosi hicho, huku akitoa msimamo wake, kwa Kuwataja Jean Baleke, Prince Dube na Clatous Chama...

GAMONDI WALA HANA HOFU NA KOSI LAKE.

0
YANGA baada ya kupoteza mchezo wake wa kwanza wa kirafiki ndani ya maandalizi ya kuelekea msimu mpya, wala hajaumizwa na matokeo hayo lakini akawapa...

SIMBA KUTESTI MITAMBO…FADLU DAVIDS AFUNGUKA UWEZO WA WACHEZAJI WAKE

0
BAADA ya kujifua kwa muda wa wiki mbili sasa katika kambi iliyopo Ismailia, Misri kikosi cha Simba chini ya kocha mpya, Fadlu Davids kesho...

AZIZ KI ATOBOA UKARIBU WAKE NA CHAMA ULIPOANZIA

0
MFUNGAJI Bora wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu uliopita, Stephane Aziz Ki, amefichua siri baina yake na mchezaji mpya kwenye klabu hiyo, Clatous Chama...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS