Home Authors Posts by Abubakar

Abubakar

1085 POSTS 0 COMMENTS

SIMBA WAFUNGUKA DILI LA MPANZU…SIMBA DAY KUCHEZA NA APR

0
UONGOZI wa klabu ya Simba kwa mara ya kwanza umejitokeza hadharani na kukiri kuwa ilikuwa inamuwania kwa udi na uvumba winga wa AS Vita,...

BALEKE ATANGAZA VITA NA PRINCE DUBE…KAZI KAIANZA.

0
INGIZO jipya ndani ya kikosi cha Yanga, Jean Baleke ameanza kwa zali la kufunga kwenye mchezo wake wa kwanza akiwa na uzi wa njano...

KUMBE AWESU NI MNYAMA KITAMBO SANA…MWENYEWE AFUNGUKA

0
KIUNGO mshambuliaji mpya wa Simba, Awesu Awesu ameshatua kambini sambamba na winga Mcameroon, Willy Onana na kuweka bayana anavyojisikia kuanza mazoezi na timu aliyokuwa...

JOBE AIPA SHAVU SIMBA…AKIMBILIA CAF

0
SIKU chache baada ya kutemwa na Simba, mshambuliaji Pa Omar Jobe amekula shavu kwa kusajiliwa na klabu ya Nouadhibou FC ya Mauritania itakayoshiriki Ligi...

LAWI AJIUNGA TIMU YA SAMATTA ULAYA.

0
WAKATI Coastal Union ikiendelea kupambana na Simba juu ya nani ana haki ya umiliki wa kimkataba wa Lameck Lawi, beki huyo ametua rasmi Ubelgiji...

WACHEZAJI 7 WA YANGA WALIOFANYA VIZURI AFRIKA KUSINI.

0
Unaweza kusema Yanga sio inshu sana kupoteza mchezo wa jana,  kwani lengo sio ushindi ila lengo ni kutesti mitambo kuelekea Mashindano mbalimbali, katika mchezo...

LOMALISA ALIA NA YANGA KUMSALITI.

0
LICHA ya kupata dili la kuichezea G.D. Sagrada Esperanca ya Angola, beki wa kushoto aliyeachwa Yanga, Joyce Lomalisa amelia na mabosi wa klabu hiyo...

VALENTIN NOUMA AANZA NA TSHABALALA…BALAA LAKE USIPIME

0
SIMBA inaendelea kujifua ikiwa kambini Ismailia, Misri kujiandaa na msimu mpya wa mashindano ili irudi na moto wa kurejesha mataji iliyopoteza misimu mitatu iliyopita,...

TSHABALALA AWAPA SIRI WACHEZAJI WAPYA…KISA MECHI YA SIMBA NA YANGA

0
WAKONGWE wa kikosi cha Simba wameanza kuwapa semina elekezi wenzao wapya waliosajiliwa msimu huu juu ya utamaduni wa timu hiyo na na umuhimu wa...

MAHAMAKAMA YAKUBALI OMBI LA YANGA…KESI YAO KUSOGEZWA MBELE

0
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es salaam imekubali ombi la klabu ya Yanga ya kusogezwa mbele kwa muda wa kusikilizwa kesi iliyofunguliwa...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS