Home Authors Posts by Abubakar

Abubakar

1085 POSTS 0 COMMENTS

MKENYA DUKE ABUYA ATUA YANGA NA MKWARA MZITO

0
MASHINE ya Kusaga na Kukoboa Duke Abuya raia wa Kenya ambaye ni kiungo aliyekuwa ndani ya Singida Black Stars atakuwa kwenye anga la kimataifa...

SIMBA YAKUTANA NA AUBIN KRAMO…ONANA AKALIA KUTI KAVU.

0
HABARI zilizotufikia hivi punde kuhusu hatma ya Winga hatarii Aubin Kramo na kinachoendelea kuhusu kuendelea kusalia kubaki Simba kwa msimu ujao. Inaelezwa kwamba Aubin Kramo...

SIMBA YAHAMIA KWA MNIGERIA…DILI LA MPANZU NGUMU KUMEZA

0
UONGOZI wa Simba umeanza mazungumzo na Sporting Lagos FC ya Nigeria ili kupata saini ya winga wa kikosi hicho, Jonathan Alukwu, ikiwa itashindwa kumpata...

FADLU DAVIDS AANZA KAZI SIMBA…KIBU D AONGEZA MZUKA

0
KAZI imeanza. Baada ya kocha mkuu mpya wa Simba, Fadlu Davids kutua kambini juzi jioni na jana kuanza rasmi kazi ya kukinoa kikosi hicho,...

NUNGUNUNGU ALIWA KICHWA JANGWANI…KAMWE AFUNGUKA

0
Taarifa zinaeleza kua kiungo wa zamani wa klabu ya Simba Jonas Mkude "Nungunungu" huenda akapewa mkono wa kwaheri ndani ya klabu ya Yanga baada...

YANGA WANATAMABA NA TIMU YAO…ALI KAMWE HAAMBILIKI

0
UONGOZI wa Mabingwa wa Kihistoria Yanga umebainisha kuwa una timu bora kwa sasa kutokana na usajili bora waliofanya kwa wachezaji wazuri na kuhakikisha wachezaji...

WAPINZANI WA SIMBA, YANGA NI HAWA…AZAM NA COASTAL PAGUMU

0
Droo ya Mashindano ya Kimataifa Afrika, Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la SHIRIKISHO zote zimechezeshwa Misri, na macho ya wengi yalikuwa ni kuwafahamu...

CHAMA AMUONDOA MUDATHIR YANGA…GAMONDI MTEGONI

0
USAJILI WA KIUNGO Clatous Chama ni furaha kwa mashabiki  wa Yanga lakini huenda ukawa ni mtihani mzito sana kwa Mudathir Yahya ambaye nafasi ya...

KWA SIMBA HII MTAFUTE PA KUJIFICHA…MASTAA WAFICHWA MISRI..WENGINE WAONGEZA MZUKA

0
SIMBA WANA HASIRA NYIE, Ni kipigo cha Bao 7-2 kutoka kwa watani zao Yanga? ni kukosa ubingwa kwa misimu mitatu? au Tajiri MO Dewji...

BALEKE ALIAMSHA YANGA…AONEKANA MAZOEZINI.

0
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Simba, Jean Baleke Inaelezwa kuwa amesaini mkataba wa mwaka mmoja Yanga, baada ya kufuzu vipimo vya afya juzi na tayari...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS