Home Authors Posts by Abubakar

Abubakar

1085 POSTS 0 COMMENTS

YUSUF MANJI TAJIRI WA YANGA KUZIKWA LEO…YANGA KUMUENZI KWA MAMBO 9.

0
Aliyewahi kuwa Mwenyekiti na Mfadhili wa Yanga, Yusuf Manji ambaye alifariki juzi Jumamosi anatarajiwa kuzikwa leo nchini Marekani. Manji alifariki akiwa hospitalini Florida Marekani alipokuwa...

YANGA YENYE CHAMA, PACOME, AZIZ KI NYIE HAMUOGOPI? GAMONDI ACHAGUE MIFUMO...

0
Chama atakuwa mmoja ya wapambanaji wa klabu ya Yanga msimu wa 2024/2025 ambapo timu hiyo itakuwa ikishiriki mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrka, Ligi...

POWER DYNAMOS YATHIBITISHA USAJILI WA SIMBA KWA MUTALE

0
Klabu ya Power Dynamos Football Club ya nchini Zambia imethibitisha kuwa wachezaji wake 12 hawatakuwa sehemu ya kikosi Chao msimu ujao wa 2024/25. Katika orodha...

REKODI ZA CHAMA AKIWA SIMBA…YANGA ANAKUTANA NA WATU WA MAANA

0
KULE CHAMA, Huku Aziz Ki, Hapa Pacome, pembeni Maxi Nzengeli hatimaye yametimia waliyokuwa wanayasubiri Wananchi, Clatous Chama sasa ni rasmi mali ya Yanga. Baada ya...

YUSUF MANJI ATAKUMBUKWA KWA MENGI YANGA…KUNA HAYA BAADHI.

0
YANGA INALIA Imempoteza Tajiri na mtu wa muhimu kwao, Tanzania inasikitika kumpoteza moja ya mtu muhimu, Simba inahuzunika kwa msiba wa Yusuf Manji kama...

BREAKING NEWS…CLATOUS CHAMA NI MWANANCHI…ILIKUAJE HADI KWENDA YANGA?

0
HATIMAYE YAMETIMIA, Baada ya sarakasi nyingi za kuwania saini ya Mwamba wa Lusaka Clatous Chama, Yanga wameibuka na ushindi wa KO dhidi ya Simba...

BREAKING NEWS…CHAMA AMALIZA MKATABA SIMBA…MO DEWJI AMUITA DUBAI KIMYA KIMYA.

0
MOJA Kati ya mchezaji aliyegonga vichwa vya habari na habari yake kuwa ya moto sana kwa takribani wiki ya pili sasa Clatous Chama, mkataba...

SIMBA YATUA KWA KOCHA WA RAJA CASABLANCA…CV YAKE NI BALAA

0
UONGOZI wa Simba SC upo sokoni kutafuta mrithi wa Abdelhak Benchika ambaye aliondoka klabuni hapo mwishoni mwa msimu, na majukumu yake kukaimiwana Juma Mgunda. Makocha...

INJINI HERSI: USAJILI UMEKAMILIKA YANGA…KUANZA KUTAMBULISHWA

0
Wakati uongozi wa klabu ya Yanga ukijiandaa kumuongezea mkataba kiungo mshambuliaji wake Pacome Zouzoua, umetangaza kukamilisha na kufunga usajili wake msimu huu na sasa...

NDOA YA DUBE NA AZAM IMEKWISHA…HUENDA AKATAMBULISHWA KESHO YANGA

0
Ni suala la muda tu, Prince Dube 'Mwana wa Mfalme' atatambulishwa kuwa mchezaji wa Yanga baada ya kuachana na Azam FC. Azam FC walimkabidhi Dube...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS