Home Authors Posts by Abubakar

Abubakar

1083 POSTS 0 COMMENTS

YANGA KUTAMBULISHA KITABU CHAO LEO…ALI KAMWE ATOBOA YALIYOMO

0
NI SIKU rasmi ya Mabingwa wa kihistoria Yanga SC kuandika historia nyingine, wanachama na mashabiki wa timu hiyo leo watashuhudia kitabu chao chenye historia...

AZIZ KI NA REKODI HIZI YANGA HANA MPINZANI

0
MWAMBA Aziz Ki ni mtambo wa kuvunja rekodi ndani ya kikosi cha Yanga kutokana na kasi yake kuwa kwenye mwendelezo bora wakati wote kwenye...

HENOCK INONGA AHITAJIKA FASTA UFARANSA…SIMBA WANASEMAJE?

0
BEKI wa kati wa Simba, Henock Inonga ambaye awali alikuwa anatajwa kutua FAR Rabat ya Morocco huenda dili hilo likafa baada ya klabu ya...

SWED MKWABI ATAJA KINACHOIKWAMISHA SIMBA…AMHSAURI HIVI MO DEWJI

0
WAKATI hali ya sintofahamu ikiendelea ndani ya Simba ikiwamo kujiuzulu kwa baadhi ya viongozi, Mwenyekiti wa zamani wa klabu hiyo, Swed Mkwabi amevunja ukimya...

USAJILI SIMBA WAPAMBA MOTO…YANGA NO STRESS

0
MABOSI wa Simba wameanza mazungumzo ya kumnasa kiungo mkabaji raia wa Guinea, Mohamed Damaro Camara. Damaro anayeichezea Hafia ya Guinea aliyojiunga nayo mwaka 2020 akitokea...

FARID MUSSA ATAJA SIRI ZA GAMONDI NA NABI YANGA

0
KIRAKA wa Yanga anayemudu kucheza kama winga na beki wa kushoto, Farid Mussa amekiri Kocha Miguel Gamondi anastahili jina la Masta, kwani hana mchezo...

MATOLA, ZAKAZAKAZI, KOMBA…WATOA USHAURI VAR LIGI KUU

0
Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, amesema Serikali inakusudia kuwasilisha pendekezo la kuondoa kodi kwenye vifaa vya teknolojia inayomsaidia mwamuzi kufanya marejeo ya picha (Video...

KOCHA WA DIARRA ATIMULIWA…SABABU ZATAJWA

0
MATOKEO yasiyoridhisha katika mechi za kuwania kufuzu Kombe la Dunia zilizochezwa hivi karibuni yamepelekea kutimuliwa kwa makocha Finidi George wa Nigeria na Eric Chelle Kufanya...

MO DEWJI AMKATAA LOMALISA…AANZA NA LAKRED

0
MWEKEZAJI wa klabu ya Simba Mohammed Dewji, amezuia uwezekano wa beki Joyce Lomalisa kutua Msimbazi lakini amemuita kipa Ayoub Lakred kwa ajili ya mazungumzo...

YANGA YASHTUKIA DILI LA USAJILI…INJINIA NA GAMONDI WAKAA KIKAO

0
YANGA wameamua kurudi nyuma kwanza kuangalia kuna ulazima gani wa kusajili kiungo mkabaji mzawa ikiwa kuna uwezekano wa kuendelea kubaki na Jonas Mkude na...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS