admin
YANGA KUINGIA GWAMBINA COMPLEX KWA MTINDO HUU LEO
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mrundi Cedric Kaze, amefunguka kuwa licha ya mwenendo usio mzuri walionao wapinzani wao Gwambina FC lakini bado wataingia uwanjani leo Jumanne...
HASSAN MWAKINYO APANDA VIWANGO KIMATAIFA, KWA BONGO NI NAMBA MOJA
HASSAN Mwakinyo aliyewahi kuwa namba moja Afrika na wa 14 duniani baada ya kumchapa kwa TKO, Samm Eggington wa Uingereza aliyekuwa bondia namba nane wa...
KAZE ANA KAZI YA KUPAMBANA NA VIGONGO VITANO VYA MOTO NOVEMBA
KOCHA Mkuu, Cedrick Kaze ana kibarua cha kusaka pointi 15 kwenye mechi zake tano ambazo atakuwa uwanjani na timu yake kwa mwezi Novemba.Uzuri ni...
GWAMBINA FC KUKIWASHA LEO DHIDI YA YANGA
TIMU ya Yanga inashuka uwanjani leo Novemba 3, 2020 kuivaa Gwambina katika mchezo wa kusaka kujiamini zaidi kwa mchezo ujao dhidi ya watani zao,...
MARADONA HAYUPO FITI KIAFYA
DIEGO Maradona legendi wa zamani wa timu ya Taifa ya Argentina ameripotiwa kupelekwa hospitali kutokana na kutokuwa fiti kwa afya huku wakigoma kuweka wazi...
KUONA BALAA LA SARPONG NA CHAMA KWA MKAPA BUKU SABA TU
NOVEMBA 7, Uwanja wa Mkapa mchezo wa dabi ya Kariakoo kati ya Yanga na Simba unatarajiwa kupigwa kuanzia saa 11:00 jioni.Viingilio kwenye mchezo huo...
VIWANJA SABA VYAPIGWA PINI NA BODI YA LIGI
BODI ya Ligi Kuu Tanzania Bara (TPLB) leo Novemba 2 imevifungia viwanja viwanja 7 kutotumika kwa ajili ya mechi za mashindano kutokana na kukosa...
KOCHA YANGA AMFUNGUKIA NYOTA WAKE SARPONG
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mrundi, Cedric Kaze, amesema ana imani na mshambuliaji wake, Mghana, Michael Sarpong na hivi karibuni wananchi watamuelewa. Kauli hiyo aliitoa mara...
NYOTA KAGERA SUGAR AINGIA ANGA ZA KAGERE
BAADA ya jana, Novemba Mosi kufunga bao lake la nne nyota mzawa, Yusuph Mhilu anaingia anga za Meddie Kagere mshambuliaji namba moja wa Simba.Mhilu...
VIGONGO VITANO VYA MOTO KWA SIMBA ACHA KABISA, YANGA NDANI
BAADA ya Oktoba 31 Simba kuifunga kwa ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Mwadui FC ndani ya Novemba ina kazi ya kusaka pointi 15...